Wachina kujazana Marekani

Wachina kujazana Marekani

Taasisi za kimataifa zimepigwa marufuku kufanya uchunguzi China, sheria ya ujasusi waliyoipanua inakataza shirika AMA mtu yoyote kukusanya taarifa zozote za kiuchumi from china.

Ni kwamba taarifa za kiuchumi zinatolewa na China ministry of statistics, wazungu tu wenyewe walishangazwa na hizo ripoti zilivyotoka mimi ni nani hadi niziamni
Taarifa zote za ukuaji wa uchumi wa China zinazokuwa officially recognised kimataifa ni za IMF na WB
 
Hizo sio data za WB,

Tangazo la ukuaji wa uchumi wa China wa asilimia 4.5 ilitolewa na CCP na sio IMF wala WB. Na China inajulikana kwa kutokuwa na uwazi na ukweli haswa katika data zake

Sasa kama wachina tu wenyewe hawaiamini CCP utanilazimisha VP mm niiaminj
Fuatilia mzee baba uone
 
Watu wengi huamini China maisha ni poa kwa kuangalia Shanghai, Hongkong, Macau, Guangzhou, Yiwu

Nenda ndani ndani huko utajua uhalisia wa maisha ulivyo mgumu, kwanza hata stendi ni vumbi
Mmekaririshwa propaganda na media za West

Jionee Vijiji vya China maeneo ya mashambani halafu linganisha na uozo uliouandika

China is progressing na bado wanafanya poverty alleviation kwenye maeneo mengi ya nchi yao



20230610_002551.jpg
20230610_002658.jpg
20230610_003101.jpg
20230610_003124.jpg
20230610_003221.jpg
20230610_003318.jpg
20230610_003301.jpg
20230610_003426.jpg
20230610_003434.jpg
20230610_003531.jpg
20230610_003508.jpg
20230610_003902.jpg
20230610_003651.jpg
20230610_003706.jpg
20230610_003710.jpg
20230610_004059.jpg
20230610_004105.jpg
20230610_004155.jpg
20230610_004144.jpg
20230610_004358.jpg
20230610_004429.jpg
20230610_004617.jpg
20230610_004808.jpg
20230610_005001.jpg
20230610_004917.jpg
20230610_005034.jpg
20230610_002556.jpg
 

Attachments

  • 20230610_003225.jpg
    20230610_003225.jpg
    513.2 KB · Views: 1
  • 20230610_004511.jpg
    20230610_004511.jpg
    134.7 KB · Views: 1
  • 20230610_004708.jpg
    20230610_004708.jpg
    343.6 KB · Views: 1
Sasa kama wewe huna jibu kwa nini wasema maoni yangu sio sahihi ?

Man this is 幼稚的
Wap nmesema sina jibu ? Kuwa serious boss , sema huna jibu tukusaidie sio kutuwekea kauli mdomon
 
Back
Top Bottom