Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Taarifa zote za ukuaji wa uchumi wa China zinazokuwa officially recognised kimataifa ni za IMF na WBTaasisi za kimataifa zimepigwa marufuku kufanya uchunguzi China, sheria ya ujasusi waliyoipanua inakataza shirika AMA mtu yoyote kukusanya taarifa zozote za kiuchumi from china.
Ni kwamba taarifa za kiuchumi zinatolewa na China ministry of statistics, wazungu tu wenyewe walishangazwa na hizo ripoti zilivyotoka mimi ni nani hadi niziamni