Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Kwa dunia ya sasa haina haja ya kusubiri aje mwekezaji mkubwa kutoka nje ya nchi aje atuletee maendeleo tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu kila muwekezaji anakuja kwa lengo la kuchuma nazani Mimi kwa mtazamo wangu naona wakutukomboa ni sisi wenyewe tunapaswa tuongeze jitihada mahali flani tukiamua tuwekeze kwenye viwanda vidogo vidogo tutapunguza hiyo kasi ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje bidhaa kama stick,viberiti,sendol nk hata sisi mbona tunaweza kwa kuanza na viwanda vidogo vidogo Nini kinachotukwamisha