Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, material zinatumika.
Lakini pia human resources wanaotumika kuchakata hizo resources hawalipwi vizuri.
Mbona mnajifanya kama mnasahau wahindi wanavyoendesha viwanda vyao?
Mimi Nina mianzi tayari, kinachotakiwa zaidi ni nini?Natafuta mtu tufanye partnership tufungue kiwanda cha kutengeneza toothpick. Ninazo ABCD ninazozifahamu katika hiyo bidhaa.
Mwanzoni nilitaka kufanya na mchina flan bahati mbaya akapata ajali. Karibu kwa aliye tayari.
Kweli malengo ya sido kwa sasa hayaeleweki imebakia kama maghofu labda wataonekana kwenye maonesho baada ya hapo hawasikiki tena , sido na veta ilitakiwa wafanye kazi pamoja tungekua mbali sana ,Hatuwezi chochote zaidi ya wizi, uongo na sifa zote mbaya.
Sido ilianzishwa na Nyerere kwa kusudio hilohilo, imefanya nini cha kujivunia miaka yote hii?
Ttz linaanziaa hapa kwakwelii mkuu, zaidi utakwamishwa na TBS kupata vibali utahitaji uwahonge pesa hadi wachoke wao , hizi mamlaka mara taasisi zinakwamisha mambo mengi Sana kwa wajasiriamali wa ndani
Imekuwa kituo cha watu kujipigia pesa tu.Kweli malengo ya sido kwa sasa hayaeleweki imebakia kama maghofu labda wataonekana kwenye maonesho baada ya hapo hawasikiki tena , sido na veta ilitakiwa wafanye kazi pamoja tungekua mbali sana ,
Eneo la kazi(jirani na malighafi), machines, vibali na miundo mbinu (majengo, maji, umeme, n.k)Mimi Nina mianzi tayari, kinachotakiwa zaidi ni nini?
Hapa naiona fursa ya kuanzisha vituo binafsi vya viwango na ubora nje ya TBS. Bila hivyo TBS wataendelea kudhulumu watu.Kama ulivosema viwanda vidogovidogo ni suluhisho kwa Ajira na hapo ilitakiwa kujifunza Pakistan, India , Iran, china hiyo, vitu kama sufuria , majiko ya gesi, rim za magari, koleo , majembe, ndala za kuongea, magodoro , na vingine vingi ambavyo ukiwa na mil 50 unaanza kwa ukubwa, zaidi utakwamishwa na TBS kupata vibali utahitaji uwahonge pesa hadi wachoke wao , hizi mamlaka mara taasisi zinakwamisha mambo mengi Sana kwa wajasiriamali wa ndani
Ni kweli kabisaaUkweli hauwezi kuushika uchumi kama haufanyi production ya kitu chochote, ndio maana mataifa ya viwanda yanakimbiza Sana kiuchumi
Duu au pesa zilianza kumuendeshaDogo fulani alianzisha kiwanda cha sabuni akiwa form one , kama utani kikabamba sana kwa vile aliachiwa ujuzi na mhindi mmoja aliyehama nchi ...Sasa jamaa akapata pesa ile form 3 akaacha shule ,mpaka kufika mwaka alitoakiwa aingiea form 4 alikuwa na kiwanja na nyumba ishaanza .
Sasa sijui ushamba ni hawa vijana wnaopenda kusifia nchi kama USA na south. jinga likachukua mtaji wote likakimbia south Africa , linatupostia mapicha limeajiriwa kweny supermarket huko .
Ninavyokuambia alirudishwa mwaka 2016-2017 akiwa teja hapa bongo , hana anachojua jua anakaa kwao maana alishamjengea kidogo mother wake ..kiwanda wanakula watu wengine kabaki kujisifia eti mwanzilishi.
yaani, kwenye gharama za kutengeneza bidhaa, gharama ya wafanyakazi(waajiriwa) si mojawapo?Hapa tumechengana mkuu
yaani, kwe gharama za kutengeneza bidhaa, gharama ya wafanyakazi(waajiriwa) si mojawapo?
sasa nimegundua(yawezekana isiwe mara zote) bidhaa ambazo ni nafuu sana zinatokana na unyonyaji wa watu
mbona kuna uzi humu nimesoma kwenye viwanda vya bakhresa, vibarua wanalipwa tsh 15 kwa kunyanyua gunia moja? na hata wenye blue collar jobs hawalipwi vizuri
naona kwenye huu uzi watu hawaliibui/hawalikubali jambo hili
Ukitaka kujua tulivyo ingia reels page za facebook utaona tofauti ilivyo kubwa kati ya watanzania na hao wachina na wahindi, wakati wao wako busy na innovations sisi tunazungumzia kutoshelezana kimahabaKwa dunia ya sasa haina haja ya kusubiri aje mwekezaji mkubwa kutoka nje ya nchi aje atuletee maendeleo tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu kila muwekezaji anakuja kwa lengo la kuchuma nazani Mimi kwa mtazamo wangu naona wakutukomboa ni sisi wenyewe tunapaswa tuongeze jitihada mahali flani tukiamua tuwekeze kwenye viwanda vidogo vidogo tutapunguza hiyo kasi ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje bidhaa kama stick,viberiti,sendol nk hata sisi mbona tunaweza kwa kuanza na viwanda vidogo vidogo Nini kinachotukwamisha
Tuoneshe kiwanda chako kidogoKwa dunia ya sasa haina haja ya kusubiri aje mwekezaji mkubwa kutoka nje ya nchi aje atuletee maendeleo tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu kila muwekezaji anakuja kwa lengo la kuchuma nazani Mimi kwa mtazamo wangu naona wakutukomboa ni sisi wenyewe tunapaswa tuongeze jitihada mahali flani tukiamua tuwekeze kwenye viwanda vidogo vidogo tutapunguza hiyo kasi ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje bidhaa kama stick,viberiti,sendol nk hata sisi mbona tunaweza kwa kuanza na viwanda vidogo vidogo Nini kinachotukwamisha