Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
SIDO wanafanya vitu vizuri sana na vimesaidia wengi. Mashine za kusaga, kukoboa, vipuri vya machine, machine za kukamua mafuta? Assets nk vimetengenezwa na SIDO, shida wabongo malimbukeni wanaona bora wanunue bidhaa ya mchina waache ya SIDO. Tembelea NANE8 na SABASABA ujionee maFanikio ya SIDO.Kweli malengo ya sido kwa sasa hayaeleweki imebakia kama maghofu labda wataonekana kwenye maonesho baada ya hapo hawasikiki tena , sido na veta ilitakiwa wafanye kazi pamoja tungekua mbali sana ,
SIDO wanatoa msaada kwa wajasiliamali wanaosindika bidhaa mbali mbali.
Leo peanut butter ya SIDO imejaa madukani. Shida yenu hamuendi kwenye maonyesho ya SIDO .
Kazi kuponda tu, huyo Faiza ni bingwa wa kiponda black movement and achievements. Ila watakao leta mapinduzi barani Africa ni waafrika wachache wala si kundi kubwa la waafrika ambao ni watumwa wa kifikra.