Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

Niliacha k vant kitambo ukinywa mara koo liwe kavu, mara tumbo, mara hang over za ajabu ajabu maranikate moto kumbukumbu zipotee nikaona isiwe tabu niko kwenye nyagi sema kuna wachina wengine hapa bongo wachaga nao wa copy sana
 
Wazee wa kugandamizia.. Mmarekani anamgwaya kwenye hiyo fani[emoji23]

Hawa watu mwana hatari sana...nakumbuka enzi hizo uchinani, wamelisha sana maustaadh kitimoto...

Yaani ile nyama wana isugar coat, inaitwa "tang cu li ji", sasa ukiwa mroho mroho wa misosi, unajipata unaigonga kila siku na ubwabwa wao ule wa vibakuli

 
Hawa watu tukiwaendekeza watatuua! Juzi kuna dada kasimulia jinsi alivyoendesha baada ya kunywa K Vant fake hana hamu tena na K vant yoyote. Hawa wajinga wataharibu afya za watu na biashara ya K vant halisi maana watu watazikwepa.
Kuna kitu kipya kinaitwa Crown100 vodka. Jaribu kiongozi
Hawa watu tukiwaendekeza watatuua! Juzi kuna dada kasimulia jinsi alivyoendesha baada ya kunywa K Vant fake hana hamu tena na K vant yoyote. Hawa wajinga wataharibu afya za watu na biashara ya K vant halisi maana watu watazikwepa.
Kuna Crown100 vodka imekaa vizuri ,haina harufu na itachukua muda kufeki.
 
Picha 4 hazina uhusiano wowote,sijui kama hii habari ina ukweli,ingawa imeshazagaa kila kona...
 
Chupa tupu za K-Vant zimepangwa nje ya nyumba.

Mzigo wa Moet & Chandon umepigwa picha ndani ya karakana.

Wachina wawili wamepigwa picha pekee yao.

Kwa ufupi, hakuna kiashiria chochote kuwa hapo ni Tanzania.
Kiukweli unasononesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…