Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

K vant sasa hivi haina hata stimu ya kuleweshahawa wanataka kutuchosha maini na inawezekanawana branch mikoa yote

sent from HUAWEI
 
Hawa kwao china kesi yao inachukua dakika tano na dakika ya sita wananyongwa. Yakija huku yanafanya mambo ya ajabu. Sasa hiyu permit yake inasemaje? Kibali chake cha kuingia nchini ni cha aina gani
 
Chupa tupu za K-Vant zimepangwa nje ya nyumba.

Mzigo wa Moet & Chandon umepigwa picha ndani ya karakana.

Wachina wawili wamepigwa picha pekee yao.

Kwa ufupi, hakuna kiashiria chochote kuwa hapo ni Tanzania.

Angalia Tiles
 
Hawa watu tukiwaendekeza watatuua! Juzi kuna dada kasimulia jinsi alivyoendesha baada ya kunywa K Vant fake hana hamu tena na K vant yoyote. Hawa wajinga wataharibu afya za watu na biashara ya K vant halisi maana watu watazikwepa.
Yaani hili Serikali wasichukulie rahisi. Athari za hili zitakuwa kubwa sana. Si afya tu mpaka Uchumi. Angalia ni kwa kiasi gani wauzaji na wazalishaji wa bidhaa watakavyopata/wanavyopata athari
 
Niko nakula zangu kvant uswahilini lakini nawawaza hawa wahuni.... vijana wa chuo wamekomaaa hamna fursa mjini lakini wahuni wametulia zao na fursa ya kvant wanagonga kopi tu mazafaka...
natafakari sana. Huko kwao kila kitu kishafanywa thats why wakija afrika aanaona fursa kila mahala yani iwe legal au illegal vijana wa tz tuamke tuamke fursa zipo https://jamii.app/JFUserGuide the law kama inakubana ukikamatwa itajuliakana tu huko atleast u did ur fucking best
 
Ndo maana Kvant zinakufanya hupoteze kumbukumbu kumbe kuna feki jamani watuhurumie
 
Alafu kuna mandezi wanakuja na story zao eti China ndiyo superpower! Taifa la watu wanaishi kama digidigi usuperpower wao unatokea wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…