Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

Sijui walikuwa wanataka kutengeneza nini mpaka wakatoa korona?
 
Asee ndio maana haya makitu sitaki kuyasikia bora ninywe mbege tuu hapa triple B nikiwa vizuri ka Hennesy kale bei kubwa kabisa kama 140k dadekii najua hii hawezi fyatua [emoji28]
 
Chinese are very very bad people. Nilisema mara nyingi na narudia rudia tena na tena, hata katika mikataba mikubwa hawafai kabisa, hawa ni watu wezi na fake sana. TBS, TMDA, Immigration, wahakikishe chinese nationals walioko nchini wanafuatiliwa kwa ukaribu sana kujua shughuli zao, kwani kuanzia products zao nyingi ni fake sana, all products zao ni kuwafuatilia kwa umakini, ni watu fake na hatari kwa afya na uhai wa wananchi wetu.
 
Asee ndio maana haya makitu sitaki kuyasikia bora ninywe mbege tuu hapa triple B nikiwa vizuri ka Hennesy kale bei kubwa kabisa kama 140k dadekii najua hii hawezi fyatua [emoji28]
Kiongozi hizi pombe za kigeni watu wanachakachua sana sijui kwann
Usiponunua sehemu ya uhakika asilimia ya kupigwa ni kubwa sio moet henny hata hizi ciroc
Wahindi wachina wanatoa feki sana
 
Hizi pombe kali hazifai nyingi hazifai tena sjui kwa vile vinafyatuliwa feki!!! Juzi nimestop pombe kama miezi 2 hivi coz nlikunywa nikapoteza kumbukumbu kabisa hadi home nikapasahau,sa hiyo ni pombe au sumu.hao wachina wapewe adhabu kali
Ni hizi shida tuu but kiukweli pombe kali za uhakika ni whisky kama Captain Morgan, Jack Daniel na nyinginezo, yaani hata kwa kupima na bia zako mbili fresh kabisa... Kesho unaamka uko fit kwa kazi zako...
 
Hizi k-vant niliziacha mwezi wa sita.
Kuna siku ilikuwa jumamosi asubuhi nilikuwa na kazi nyumbani, so nikaagiza k vant kubwa nikawa napiga huku nafanya kazi, ilipofika saa saba nikawa nimemaliza kazi na k vant.
Muda ule nikaenda bar nikaagiza kvant nyingine, nadhani hii ndio ilikuwa fake.
Nilikuja kushituka usiku saa sita nipo home sina hela, sina simu, sina card ya bank. Kuanzia siku ile nikasema basi, nakunywa bia tu na sasa hivi nilipo huku nakunywa na ulanzi.
 
Wachina ni kama chadema tu kwa ujanja ujanja usio na tija.
Mwenye chama kafichwa, nchi imetulia na watu tuko busy kazi zinaendelea. Yale ma operation haki, operation faru John zilikuwa ni janja yake kula hela za chama tu.
 
Kama ni mla K Vant na Moet, basi hii ni kwa ajili yako. Yasemekana hao mabwana kutoka Asia ya Mashariki wamekamatwa jijini Dar wakiwa kwenye ‘karakana’ yao la kufyatua kopi za vinywaji hivi murua.

Hivi huwa wanapataje vifungashio visivyotia shaka?

Kwa uchafu wa hayo madumu, huenda yanahifadhia molasses. Na kama ndivyo, ningependezwa kuona mtambo wao na mchakato wa kukopi ladha na harufu za hivi vinywaji. Bado nabaki na maswali kedekede.

Nimestushwa zaidi na hiyo paint roller na rangi kwenye beseni, sijui vina kazi gani Mungu wangu!

View attachment 1899801View attachment 1899802View attachment 1899805View attachment 1899809
Wangekuwa kwao kitanzi kingewahusu
 
Naomba kama ni application tusambazie tuwe nayo huku mitaani na sisi tufanye verification ya hizo stamps. Naomba Sana mkuu
duh...ipo kwenye maduka ya vinywaji vikali (spirits outlet) na kwenye bar zinazojielewa.....
 
Naomba kama ni application tusambazie tuwe nayo huku mitaani na sisi tufanye verification ya hizo stamps. Naomba Sana mkuu
Ni application inaitwa QR & BARCODE SCANNER Nenda playstore utaikuta halafu download
 
Back
Top Bottom