Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Dah😂😂MAGA bullshit alert!
Dah😂😂MAGA bullshit alert!
So Huwa ana kurupuka na kuweka hizo tariifs bila kufanya tafiti ama niaje !?china ana advantage kwenye manufacturing supply chain, ndio maana anakimbiza dunia nzima na wala sio cheap labour.
Trump mwenyewe amesanda huko kaanza kuondoa tarrifs zake kwenye electronics baaada ya kugundua america hakuna supply chain ya kuwafanya waweze kuzalisha electronics wenyewe ndani ya USA