Wachina wamejipiga pini kwenye vita ya ushuru, Soko kubwa dunia nzima lipo Marekani

Wachina wamejipiga pini kwenye vita ya ushuru, Soko kubwa dunia nzima lipo Marekani

Wamarekani wamechoka na sera za Democrats kuingiza wanaume kwenye minchezo ya watoto wao wa kike, wataichagua Republican

Wamarekani wamechoka na sera za kibaguzi za Democrats DEI, watachagua Republicans

Wamarekani wamechoka sera za Democrats kufungua mipaka kwa illegal immigrants, watachagua republicans

Wamarekani wamechoshwa na marais wanaocheat kwenye kampeni wanaoeditiwa interviews, watachagua republicans

Wamarekani wamechoka mamia ya mabilioni ya dola ya kodi zao kutumika kutatua matatizo ya nchi zingine kuzidi wao, watachagua Republicans

Wamarekani wamechoshwa na mambo ya jinsia mpya kila kukicha, watachagua republicans

NA HAITAKUWA MARA YA KWANZA, REAGAN ALIPOMALIZA URAIS BUSH ALIUNGA
Kama hayo yote ni kweli, mbona walimchagua Biden na walimkataa Trump?

Hizo hoja zote bi secondary kwa uchumi.

Tank people's 401k plans and see what happens.
 
Pia, Trump ana face pressure ya Wamarekani wengi sana aache kujimwambafy bila strategy ya kueleweka, mpaka ma Republicans na ma prominent CEOs wa Wall St banks wanasema nchi na dunia inaweza kwenda kwenye recession.

Mfano mmoja ni Jamie Dimon wa JP Morgan Chase, one of the top US banks.

Umesema vyema

Tesla nao wanalia wanasema kwa sasa kwenye website yao hakuna tena order ya model X na model S kutoka China

Wamesema kwa sasa hakuna mteja kutoka China atakayenunua hayo magari kwa sababu ya tariffs

Model X na S huwa zinatengenezwa Marekani tu
​
 
Kabla ya hiyo press kuisha kasema milango ya majadiliano iko wazi.
Alimaanisha nini kama hataki kupiga magoti? Why aseme hataongeza tena?
Naona kiingereza ni changamoto kwako. Haujamuelewa Lin Jian
 
Umesema vyema

Tesla nao wanalia wanasema kwa sasa kwenye website yao hakuna tena order ya model X na model S kutoka China

Wamesema kwa sasa hakuna mteja kutoka China atakayenunua hayo magari kwa sababu ya tariffs

Model X na S huwa zinatengenezwa Marekani tu
​
Tesla hata Wamarekani wameanza kampeni ya kuzisusa kutokana na ujinga wa Elon Musk.

Tesla hata Wamarekani wameanza kampeni ya kuzisusa kutokana na ujinga wa Elon Musk.

Ulaya napo soko la Tesla limeshuka sana.

Nimeanza kuona Elon amekuwa kimya sana kuna kitu amejifunza. Amepunguza ile kasi yake.

Ila imeshakuwa too late
 
Marekani anataka amtengeneze mhindi kuwa mbadala wa china hapo Asia hii ni plan imeundwa kimkakati kabisa.
Discipline ya Asia ya mbali hupati popote duniani kwa sasa, Hakuna Mbadala wa wachina tofauti na Korea, Japan etc ambazo nazo haziwezi Kubali kufanywa hivyo.

Highend tech zinataka discipline ya kufa mtu, even ICU ya Hospitali ni cha mtoto compare na hizo project kuanzia Usafi, utulivu, kukaa masaa mengi kazi etc.

Ndio maana nchi zote Hadi Usa wana struggle, sembuse India?
 
Marekani qnatutoza Tanzania ushuru wa 10% kwa sababu gani, tumemkosea nini? Kitu gani Marekani ametaka auze Tanzania tukamkatalia?

Trump hana huruma, Tanzania ni mojawapo ya nchi masikini zaidi Duniani, hakuna huruma hata kidogo?
🤣😳Khaa jmn
 
Marekani hawezi ku survive hii vita kwa sababu anamtegemea sana Mchina kupata cheap products kuanzia electronics mpaka ma toys mpaka nguo.

Watu waliokwishazoea kununua cheap products za kutika China huko Walmart na Amazon.com ukiwauzia vitu hivyo mara tatu ya bei ya sasa wanaweza hata kumuua Trump.

Unaishi nchi gani mkuu?
Hizo cheap products za electronics hazina mlango wa kuingilia Marekani ndugu yangu.
 
Discipline ya Asia ya mbali hupati popote duniani kwa sasa, Hakuna Mbadala wa wachina tofauti na Korea, Japan etc ambazo nazo haziwezi Kubali kufanywa hivyo.

Highend tech zinataka discipline ya kufa mtu, even ICU ya Hospitali ni cha mtoto compare na hizo project kuanzia Usafi, utulivu, kukaa masaa mengi kazi etc.

Ndio maana nchi zote Hadi Usa wana struggle, sembuse India?
Imekaa kitaalamu sana hii comment, wachache watakuelewa​
"Hakuna Mbadala wa wachina"​
 
Ulaya napo soko la Tesla limeshuka sana.

Nimeanza kuona Elon amekuwa kimya sana kuna kitu amejifunza. Amepunguza ile kasi yake.

Ila imeshakuwa too late
Kuna ujinga fulani mtu akishakuwa na hela nyingi, akishaweza kurusha maroketi anajiona anaweza kufanya kila kitu.

Ndio ujinga wa Elon Musk huo.

The whole timeline from buying Twitter to working for Trump was disastrous.
 
Wamarekani wamechoka na sera za Democrats kuingiza wanaume kwenye michezo ya watoto wao wa kike, wataichagua Republican

Wamarekani wamechoka na sera za kibaguzi za Democrats DEI kujaza watu kwa kigezo cha rangi, lgb, n.k. hata wanapokuwa hawana sifa kamilifu, watachagua Republicans

Wamarekani wamechoka sera za Democrats kufungua mipaka kwa illegal immigrants, watachagua republicans

Wamarekani wamechoshwa na marais wanaocheat kwenye kampeni wanaoeditiwa interviews, watachagua republicans

Wamarekani wamechoka mamia ya mabilioni ya dola ya kodi zao kutumika kutatua matatizo ya nchi zingine kuzidi wao, watachagua Republicans

Wamarekani wamechoshwa na mambo ya jinsia mpya kila kukicha, watachagua republicans

NA HAITAKUWA MARA YA KWANZA, REAGAN ALIPOMALIZA URAIS BUSH ALIUNGA
Aisee Wamarekani huwajui wewe!

Kama walimfurusha Rais aliyekuwa na approval rating ya 89% mwaka mmoja tu baada ya ushindi wa vita vya ghuba ndo washindwe kubadili chama tawala?

George H. W. Bush baada ya gulf war mwaka 1991, alikuwa na approval rating ambayo haijawahi kufikiwa na Rais mwingine yeyote yule. Hata Ronald Reagan aliyeshinda majimbo 49 kati ya 50 kwenye reelection yake, hakuwahi kufikia hiyo level.

Rais mwingine ambaye amewahi kufikia hiyo level ni George Washington….na hii ni baadaye sana, siyo wakati akiwa Rais.

Baada ya vita vya Vietnam, ambapo kimsingi Marekani haikushinda, Wamarekani walikuwa wako down sana na pride yao.

Rais Bush aliirejesha hiyo pride kwa kushinda hiyo vita ndani ya wiki chache tu.

Umaarufu wake huo ukawafanya baadhi ya wanasiasa, mfano Mario Cuomo, kuachana na habari kugombea urais maana ilionekana kama Bush alikuwa unbeatable.

Hiyo ilikuwa ni mwaka 1991. Mwaka uliofuata, 1992, kwenye uchaguzi mkuu, Rais Bush akapigwa na kitu kizito kilichowaingiza vijana wawili toka kusini mwa Marekani White House.

2028 ni mbali sana kuwa count out Democrats.

Trump akiendelea na hizi whims zake, atawaharibia Republicans wenzake na usishangae akaibuka Democrat ambaye hata hajulikani na kushinda huo uchaguzi.

Trump has no plan. He’s winging it.

But, he has time for course correction.

Question is, will he course correct or not?

I won’t hold my breath on it.
 
Hawa watu wengine naona wanaandika kuhusu Wamarekani kama wakiwa nje ya Marekani, kwa kusoma hapa na pale habari kiduchu kuhusu siasa za Marekani.

Ukiwachambua Wamarekani hivyo, unaweza kuona tofauti kabisa na mtu anayekaa Marekani na kufuatilia cable news coverage blow by blow day in day out.

Ndiyo maana mpaka mara nyingine nataka kuwauliza, unaandika hiyo analysis ya Wamarekani kutoka wapi?

Unaishi nao? Unaongea nao? Unaangalia siasa za Marekani kutoka ndani ya Marekani?

Au unapata snippets tu kutoka nje, kwa kuangalia upande mmoja tu?

Siasa za Marekani ziko complex sana, nchi imegawanyika pasupasu, ndiyo maana Marekani mtu akishinda uchaguzi wa urais kwa 60% wanaona landslide, wakati kwetu huko hapo aliyeshinda anaona aibu kashinda kwa asilimia ndogo.

Sasa katika nchi kama hii, independents kibao wanaobadili mawazo kila uchaguzi, mtu anawezaje kujihakikishia kirahisi tu kwamba Republicans watashinda uchaguzi ujao?
 
Mkuu huwa unaongea sana fact naamini Nyani Ngabu na genge lake huwa wanakuelewa ila wameamua tu kuwa wapinzani​
I’m as objective as they come.

Na ndo maana wengi wenu huwa hamnielewi.

Juzi kuna jinga moja hivi lilishangaa eti kwa nini namkosoa Trump licha ya kwamba nilifurahia alivyoshinda uchaguzi!

Common sense: kwani mtu huwezi kumkosoa hata kama ulimuunga na ukiona anafanya visivyo?
 
Hizo redio,feni,tv,pasi,toarch,friji etc. Zinazoenda Marekani ni zenye quality kubwa sana (sio cheap products) kama unavyozani.
Sijaongelea cheapness ya quality, naongelea cheapness ya cost of production inayooelekea bei kuwa cheap.

Ukienda Walmart na Amazon.com kuna vitu vinauzwa bei rahisi sana kwa Mmarekani, kwa sababu vinatengenezwa China. Vingetengenezwa Marekani labda vingeuzwa mara tano au zaidi.
 
Kama hayo yote ni kweli, mbona walimchagua Biden na walimkataa Trump?

Hizo hoja zote bi secondary kwa uchumi.

Tank people's 401k plans and see what happens.
Ni kwasababu Babu Biden aliiba uchaguzi, Mashine nyingi ziliglitch na kuwapa ushindi democtats, Mail in ballots Democrat walijaza magunia ya kura feki, kupiga kura bila voting ID, n.k.

  • 2004 – 122 million
  • 2008 – 131 million
  • 2012 – 129 million
  • 2016 – 137 million
  • 2020 – 159.6 million
  • 2024 – ~135 million

Na matokeo yake Marekani walipata rais dhaifu tangu taifa lipata uhuru, Rais anachapa usingizi kwenye mikutano, Rais anasinzia wakati anatembea anaanguka, Rais hawezi kutunga sentensi anasahau alichotaka kuongea, Rais anatumia cocaine anasahau alipoiweka inakutwa na walinzi, Rais anaipa msamaha wa urais familia yake, aiseee ! mpaka chama chake kikampindua wakamweka Kamala Harris lakini na yeye alipitishwa kihuni bila kupingwa kwa style ya kisoshalisi kama ilivyo kwa Democrats wanavyotaka kuifanya Marekani iwe socialist country
 
Ni kwasababu Babu Biden aliiba uchaguzi, Mashine nyingi zilitempa na kuwapa ushindi democtats, Mail in ballots yaliwekwa magunia ya kura feki, states zisizohitaji vitambulisho vya kura mpaka mbwa walipiga kura, n.k.

  • 2004 – 122 million
  • 2008 – 131 million
  • 2012 – 129 million
  • 2016 – 137 million
  • 2020 – 159.6 million
  • 2024 – ~135 million

Na matokeo yake Marekani walipata rais dhaifu tangu taifa lipata uhuru, Rais anachapa usingizi kwenye mikutano, Rais anasinzia wakati anatembea anaanguka, Rais hawezi kutunga sentensi anasahau alichotaka kuongea, Rais anatumia cocaine anasahau alipoiweka inakutwa na walinzi, Rais anaipa msamaha wa urais familia yake, aiseee ! mpaka chama chake kikampindua wakamweka Kamala Harris lakini na yeye alipitishwa kihuni bila kupingwa, Mambo wayapendayo Democrats kutaka kuifanya MArekani iwe socialist country
MAGA bullshit alert!
 
Back
Top Bottom