Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Naona watu wengi wanajadili zaidi "kuzalisha" bila kuangalia hivi uzalishaji ili uwe na tija unatakiwa uweje.
Jee Marekani kuwa na uchumi wenye nguvu duniani walikuwa wanazalisha nini Kwa wingi kilichowafanya wawe matajiri?
Soko la uchina na Marekani linajengwa kwa wingi wa watu ama uwezo wao wa kununua bidhaa na uwezo huo wa kununua bidhaa hutokana na nini?
Sababu zinayofanya bidhaa kuzalishwa kwa gharama kubwa Marekani kuliko china zinaweza kuondolewaje ili bidhaa hizo zikizalishwa marekani ziwe na bei sawa kama zikizalishwa China?
Sasa maswali ni mengi na majibu yake si rahisi wala hakuna jibu la moja kwa moja!