Nakuita penguin sababu hufuatilii mambo au unafuatilia lakini huelewi sababu una ubongo mdogo kama wa penguinMama yako pia
Nakuita penguin sababu hufuatilii mambo au unafuatilia lakini huelewi sababu una ubongo mdogo kama wa penguinMama yako pia
Trump haendi jela!Walishindwa kumu impeach, walishindwa kumfunga jela, walishindwa kumuua,
Na kwa taarifa yako wamarekani wengi zaidi wanampenda sana ndio maana wamemchagua 😁😁
Kwa haya anayofanya 2029 kuna chances kubwa Rais anaweza kuwa Republican mwenye vision ya Trumo, watu kama kina J.D, Vance, Rubio, n.k,
Upande wa pili hao Democrats wanajua nini zaidi ya kupenda kuwaingiza wanaume waliobadili jinsia kwenye michezo ya watoto wa kike ?
Kama baba yako tu wala hakuna jipya.Nakuita penguin sababu hufuatilii mambo au unafuatilia lakini huelewi sababu una ubongo mdogo kama wa penguin
2019 Republicans hawaipati White House. Si kwa tariffs hizi. Watu washaanza kuongelea Christmas itakavyokuwa mbaya.Walishindwa kumu impeach, walishindwa kumfunga jela, walishindwa kumuua,
Na kwa taarifa yako wamarekani wengi zaidi wanampenda sana ndio maana wamemchagua 😁😁
Kwa haya anayofanya 2029 kuna chances kubwa Rais anaweza kuwa Republican mwenye vision ya Trumo, watu kama kina J.D, Vance, Rubio, n.k,
Upande wa pili hao Democrats wanajua nini zaidi ya kupenda kuwaingiza wanaume waliobadili jinsia kwenye michezo ya watoto wa kike ?
China bado ni mtengenezaji na mtundu wa bidhaa rahisi na wakati mwingine zilizo bora sana na kwa Bei nafuu. Nchi zingine Bei ya bidhaa zao ni ghali sana. Pili, China Ina soko la ndani la watu bilioni 1:4, asilimia karibu 20 ya watu wote duniani iko china., jumlisha na soko la Africa na Asia China Ina soko la asilimia karibu 50 ya watu duniani. Angalau China wana ubavu wa kumkoromea Mmarekani. Sisi wamatumbi wa bongo tungemlamba miguu tu.Vita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi kufurahia hii vita, Marekani wapo tayari hata kufikia hatua ya kuongeza ushuru wa China kuwa asilimia 400, lengo kuu ni kuwatia adabu wachina.
Mchina kaja kustukia mchezo baadae sana, kwenye kupandishiana ushuru ghafla Marekani kaziruhusu nchi nyingine kuingiza bidhaa zao kwa asilimia 10 tu. Mchina anaingiza pesa nyingi zaidi kupitia soko la Marekani, kilichofanya na Marekani ni kuwafungia China na kuruhusu nchi nyingine kufaidi soko lake, hili ni teke zito katikati ya mapaja ya China.
Hii ni zaidi ya drafti, hii ni chess, China kafungiwa kwenye soko la Marekani, meanwhile nchi nyingine zinaenda kulionja soko tamu la Marekani kwa ushuru wa 10% tu huku China wanatozwa 125 % waliyojipandishia wao kwa kunogewa na mchezo wa pandisha nipandishe, nchi nyingi zinaombea ushuru wa China uongezeke zaidi ili wao wale mema ya soko la Marekani.
Kampuni nyingi zimeanza commitment ya kuhamishia viwanda nchi zingine au kurudi Marekani, Kutengenezea bidhaa China ni kulikosa soko tamu duniani.
Marekani kaona China anatajirika sana kupitia soko lake, kinachofanywa ni kumdhibiti mchina kwa kuziwezesha nchi nyingine kuteka masoko ya bidhaa za China, hii ni plan imeundwa kimkakati kabisa.
Katika hii process soko la hisa la China limeshuka kwa kiwango kibaya zaidi tangu mwaka 2008
I know. But, kwa muda mrefu sasa jamaa huwa anasaini kwa initials zake za DJT.Buy, sticker, at the opening of the market. C'mon maan.
Hao engineers wanachojali ni mishahara tu,ukienda china kutafuta maengineer, yaani Tooling engineers, unaweza jaza viwanja vitatu vya mpira, lakini kwa marekani hata chumba ambacho kinaweza kisijae”-tim cook CEO of apple
Vitarudije ikiwa raia wamelelewa kama kuku wa kisasa? Mmarekani mmoja atalipwa sawa na wachina watano alafu atafanya kazi chini ya masaa.Trump anataka viwanda virudi U.S sio kumtengeneza muhindi hapo Asia.
Utaweza kuafford iphone made in usa?Hao engineers wanachojali ni mishahara tu,
kiwanda kikihama nchi na wao wanahama
Kwani iPhone ni kitu cha lazima kuwa nacho?Utaweza kuafford iphone made in usa?
Sahihi. Wachina watainunua iphone modern mpya kabisa moja tu. Watakaa nayo just one day baada ya wiki wanakutolea mara mbili ya hiyo.Kwani iPhone ni kitu cha lazima kuwa nacho?
Pia, Trump ana face pressure ya Wamarekani wengi sana aache kujimwambafy bila strategy ya kueleweka, mpaka ma Republicans na ma prominent CEOs wa Wall St banks wanasema nchi na dunia inaweza kwenda kwenye recession.We endelea kuota kama China anategemea US kwenye soko mimi naona US atajuta kucheza na China siku zitaongea.
Bila kusahau Americans wengi watakosa ajira na wamekosa ajira tayari kwa Trump Kufunga mashirika mengi ndani ya nchi yake na yanayifadhiliwa na nchi yake. Upinzani ndani ya Marekani kupinga sera za kibabe za Trump ni mkubwa.Ikiwa Marekani inachangia 13% tu ya China's total exports
Hizo 87% zilizobaki China inaiuzia mataifa gani?
Kwenye GDP ya China mauzo ya China kwenda Marekani ni sawa na 3% tu ya GDP ya China
Hizo 97% zilizobaki China inategemea masoko gani?
China kulipoteza soko la Marekani wala haitaathiri uchumi wake
Ila Wamarekani wanategemea 60%-65% ya foodstuffs na agricultural products soko la China na sasa China imeigeukia Brazil imeachana na Marekani
B
Bila kusahau Americans wengi watakosa ajira na wamekosa ajira tayari kwa Trump Kufunga mashirika mengi ndani ya nchi yake na yanayifadhiliwa na nchi yake. Upinzani ndani ya Marekani kupinga sera za kibabe za Trump ni mkubwa.
Wamarekani wamechoka na sera za Democrats kuingiza wanaume kwenye michezo ya watoto wao wa kike, wataichagua Republican2019 Republicans hawaipati White House. Si kwa tariffs hizi. Watu washaanza kuongelea Christmas itakavyokuwa mbaya.
Wamarekani wanamchagua rais halafu anapata burden of incumbency halafu wanamuondoa.
Ndiyo maana hata Trump mara ya pili alishindwa na Biden. Na Biden/Democrats wakaondolewa hivyo hivyo.
Republicans wataondolewa hivyo hivyo wapiga kura wa Marekani independents wanaobadilika kila mara ni wengi sana, na hawa wajinga wengi rais yeyote anayekuwa nadarakani wanaona makosa yake hata kama si yake (kwa sababu ndiye rais) ukija ichaguzi wanataka mabadiliko tu.