round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
- Thread starter
- #81
Nenda kalale kama Joe Biden,MAGA bullshit alert!
where is the bull shit kwenye vitu alivyokuwa akivifanya Biden, mikutano kama ya Angola alilala fofofo, kuanguka ilishazoeleka tena alijikwaa mara tatu mfululizo akiwa anapanda ndege. halafu vitu nilivyovitaja ni vichache tu, Joe Biden alikuwa anasahau mpaka mlango wa kutokea, alikuwa hawezi kufanya press kwasababu alikuwa na shida kutunga sentensi za fikra huru bila kuandikiwa au kujiandaa.