Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Kila mtu humu ni gwiji wa uchumi, siasa na michezo.
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Hivyo unafikiri nini serikali ya marekani itafanya..? na vipi maandamano ya raia huko marekani unafikiri yatafua dafu..?Marekani hawezi ku survive hii vita kwa sababu anamtegemea sana Mchina kupata cheap products kuanzia electronics mpaka ma toys mpaka nguo.
Watu waliokwishazoea kununua cheap products za kutika China huko Walmart na Amazon.com ukiwauzia vitu hivyo mara tatu ya bei ya sasa wanaweza hata kumuua Trump.
Unaishi nchi gani mkuu?
Trump atashusha kitenesi hizi zote ni tishatisha zake aweze kuoata as many concessions as possible kutoka China.Hivyo unafikiri nini serikali ya marekani itafanya..? na vipi maandamano ya raia huko marekani unafikiri yatafua dafu..?
Trump anataka viwanda virudi U.S sio kumtengeneza muhindi hapo Asia.Marekani anataka amtengeneze mhindi kuwa mbadala wa china hapo Asia hii ni plan imeundwa kimkakati kabisa.
MhhSio kufuatilia tu dakika chache zilizopita nimetoka kuangalia hotuba yake iliyotafsiriwa kwa kiingereza. Pia nimesikiliza hotuba ya minister of finance.
Jana baada ya pause ya tariff, soko la hisa liliemda poa ila leo baada ya china kuongeza tariff soko la hisa limefunga likiwa chini kasoro India.
Nimeona clip jana akiwa na matajiri wenzake akitaja kuwa huyu katingeneza 2.5 billiom dollars, huyu 900 milion dollars not bad not bad. Ndiyo maana kuna madai kwamba Trump na wenzake wanafanya trading wakijua maamuzi atakayofanya.Trump atashusha kitenesi hizi zote ni tishatisha zake aweze kuoata as many concessions as possible kutoka China.
Ila Mchina naye kashamjulia anamkazia hapo hapo.
Trump atashusha tu tariffs, hawezi kuendelea hivi stock markets zikianguka na chumi za dunia zikielekea kwenye recession.
It is clear there was no strategic thinking going into this.
It was a sheer egomaniac move.
Soko lingine analouza kwa kiasi hiko cha $140B ni lipi?. Inaonekana wazi kuwa hata US yenyewe haiko tayari kulikosa hilo soko la Uchina.China anauza Marekani takribani Dola bilioni 500 huku Marekani ikiuza china Only dollar bilioni 140 pekee unaona trade deficit hapo?
Kampuni ngapi ? Hiyo habari njema kwenu ki vipi ? Mna huo uwezo wa kuzioffer kampuni za kimarekani faida ya kila kitu inazopata China ?Kampuni nyingi za Ulaya na Marekani zimeanza kukimbilia India na Mexico ili kukwepa rungu la Kodi. Hii pia ni habari njema kwa Tanzania na Afrika. Wachina ni washenzi sana.
Nani kasema milango ya majadiliano ipo wazi ?Fatilia vizuri, kasema milango ya majadiliano iko wazi baada ya kusema hataongeza tena.
Vitu vya uchumi waachiwe wachumi sio kila mambo yanahitaji ushabiki wa Simba na Yanga.Vita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi kufurahia hii vita, Marekani wapo tayari hata kufikia hatua ya kuongeza ushuru wa China kuwa asilimia 400, lengo kuu ni kuwatia adabu wachina.
Mchina kaja kustukia mchezo baadae sana, kwenye kupandishiana ushuru ghafla Marekani kaziruhusu nchi nyingine kuingiza bidhaa zao kwa asilimia 10 tu. Mchina anaingiza pesa nyingi zaidi kupitia soko la Marekani, kilichofanya na Marekani ni kuwafungia China na kuruhusu nchi nyingine kufaidi soko lake, hili ni teke zito katikati ya mapaja ya China.
Hii ni zaidi ya drafti, hii ni chess, China kafungiwa kwenye soko la Marekani, meanwhile nchi nyingine zinaenda kulionja soko tamu la Marekani kwa ushuru wa 10% tu huku China wanatozwa 125 % waliyojipandishia wao kwa kunogewa na mchezo wa pandisha nipandishe, nchi nyingi zinaombea ushuru wa China uongezeke zaidi ili wao wale mema ya soko la Marekani.
Kampuni nyingi zimeanza commitment ya kuhamishia viwanda nchi zingine au kurudi Marekani, Kutengenezea bidhaa China ni kulikosa soko tamu duniani.
Marekani anamdhibiti mchina kwa kutengeneze nchi nyingine kuwa mbadala wa bidhaa za China, hii ni plan imeundwa kimkakati kabisa.
Katika hii process soko la hisa la China limeshuka kwa kiwango kibaya zaidi tangu mwaka 2008
MhusikaNani kasema milango ya majadiliano ipo wazi ?
Trump amefanya hii wazi kabisa. Kuna tweet moja katuma wakati stock market zinafunguliwa anasema buy DJT (sticker ya stock yake).Nimeona clip jana akiwa na matajiri wenzake akitaja kuwa huyu katingeneza 2.5 billiom dollars, huyu 900 milion dollars not bad not bad. Ndiyo maana kuna madai kwamba Trump na wenzake wanafanya trading wakijua maamuzi atakayofanya.
Sawa ewe Mmarekani wa ngazi ya juuMarekani-ni-taifa-lenye-watu-wenye-akili-
kubwa-na-maarifa-ya-hali-ya-juu-na-mipango-endelevu-kwa-maslahi-ya-taifa-na-watu-wao.
Penguin kama wewe huwezi elewa hii kituKabla ya hiyo press kuisha kasema milango ya majadiliano iko wazi.
Alimaanisha nini kama hataki kupiga magoti? Why aseme hataongeza tena?
Mama yako pia.Penguin kama wewe huwezi elewa hii kitu
"NOW IT'S A GOOD TIME TO BUY", nimeona Demos washaanza kum-dis kwamba jamaa analihadaa soko la hisa.Trump amefanya hii wazi kabisa. Kuna tweet moja katuma wakati stock market zinafunguliwa anasema buy DJT (sticker ya stock yake).
Watu wakanunua, stock ikapanda sana.
That is market manipulation. This is a very serious crine huku US.
Huyu akimaliza urais tu wanaye.
DJT pia ni Donald John Trump!Trump amefanya hii wazi kabisa. Kuna tweet moja katuma wakati stock market zinafunguliwa anasema buy DJT (sticker ya stock yake).
Watu wakanunua, stock ikapanda sana.
That is market manipulation. This is a very serious crine huku US.
Huyu akimaliza urais tu wanaye.
Atapigwa tu, maana hamna jinsi."NOW IT'S A GOOD TIME TO BUY", nimeona Demos washaanza kum-dis kwamba jamaa analihadaa soko la hisa.
Walishindwa kumu impeach, walishindwa kumfunga jela, walishindwa kumuua,Trump amefanya hii wazi kabisa. Kuna tweet moja katuma wakati stock market zinafunguliwa anasema buy DJT (sticker ya stock yake).
Watu wakanunua, stock ikapanda sana.
That is market manipulation. This is a very serious crine huku US.
Huyu akimaliza urais tu wanaye.
Buy, sticker, at the opening of the market. C'mon maan.DJT pia ni Donald John Trump!
That is too easy to defend 😀.