Wachina wamejipiga pini kwenye vita ya ushuru, Soko kubwa dunia nzima lipo Marekani

FB_IMG_17443513815025661.jpg
 
Vita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi kufurahia hii vita, Marekani wapo tayari hata kufikia hatua ya kuongeza ushuru wa China kuwa asilimia 400, Lengo ni kumtia adabu China kwa kumbania soko, Marekani ndio soko linalomtajirisha China kuzidi soko lolote hapa Duniani

Mchina kaja kustukia mchezo baadae sana, kwenye kupandishiana ushuru ghafla Marekani kaziruhusu nchi nyingine kuingiza bidhaa zao kwa asilimia 10 tu. Mchina anaingiza pesa nyingi zaidi kupitia soko la Marekani, kilichofanya na Marekani ni kuwafungia China na kuruhusu nchi nyingine kulifaidi soko lake, hili ni teke zito katikati ya mapaja ya China.

Hii ni zaidi ya drafti, hii ni chess, China kafungiwa kwenye soko la Marekani, meanwhile nchi nyingine zinaenda kulionja soko tamu la Marekani kwa ushuru wa 10% tu huku China wanatozwa 125 % waliyojipandishia wao kwa kunogewa na mchezo wa pandisha nipandishe, nchi nyingi zinaombea ushuru wa China uongezeke zaidi ili wao wale mema ya soko la Marekani.

Marekani kaona China anatajirika sana kupitia soko lake, hii ni mikakati ya kumdhibiti mchina kwa kuziwezesha nchi nyingine ziteke baadhi ya masoko yaliyokamatwa na China, hii ni plan imeundwa kimkakati kabisa.

China imekuwa ikishikilia soko la bidhaa zake nchini Marekani kwa wastani wa takriban dola bilioni 500 kila mwaka (shilingi trilioni elfu moja na bilioni 300). Hivyo basi, kama China itapoteza baadhi ya masokko ya Marekani kwasababu ya Ushuru, soko likapungua hata kwa dola bilioni 200, hilo litakuwa pigo kubwa kwa China.

Kampuni nyingi zimeanza commitment ya kuhamishia viwanda nchi zingine au kurudi Marekani, Kutengenezea bidhaa China ni kulikosa soko kubwa zaidi duniani.

Katika hii process soko la hisa la China limeshuka kwa kiwango kibaya zaidi tangu mwaka 2008
Hii imeandikwa kishabiki zaidi kuliko facts;
Ni kweli uhusiano wa kibiara katika ya USA na China hauko balanced [dola bilioni 440 kwa dola bilioni 145], lakini haina maana USA ana added advantage kulipoteza soko la MCHINA, Kuna makampuni mengine ya MAREKANI including Apple wana outsource baadhi ya spear kutoka China kwa sababu ya skills na cost, watchina wako highly skilled, efficient, qualuty, quantity na gharama nafuu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Hii supply Chain ina athari kubwa pia kwenye uzalishaji wa baadhi ya makampuni makubwa Marekani na ajira za Wamarekani.

Pili China ni ya pili baada ya Japan kwa kuwekeza/kuikopesha Marekani kupitia bonds/treasury bills hivyo Kuna athari ikiwa wata weaponize hili wanaweza kuathiri uchumi wa USA.

Tatu Marekani alivyoliendea hili sii kiungwana, ni kama kichaa maana ni zaidi ya nchi 90 duniani, lakini pia Mchina ameonesha restraint na maturity.... Kuna baadhi ya nchi including za Ulaya bado hawako tayari kumpa kisogo Mchina.

Rejea ziara ya Waziri Mkuu wa Hispania lakini pia Mkutano wa pili wa EU leaders na China utakaofanyika July jijini Beijing.

My Take; Hii vita ya kiuchumi tunaweza kushuhudia yafuatayo:-
1. Kushuka kwa imani ya mataifa mengi dhidi ya USA hali ambayo itashusha hadhi ya DOLLA na Utawala wa uchumi wa USA duniani.
2. Nchi nyingi hawatakubali kuwa USA kama sole trade partner na badala yake watafanya diversification including kuboresha mahusiano na China.
3. Tunaweza kushuhudia USA akitengwa zaidi duniani hali ambayo itapelekea kuanza kwa safari ya kuhitimika kwa ukiranja wa Marekani duniani... kumbuka mpaka nchi washirika wameanza kujiuliza ikiwa F-35 hazina kill switch, Canada wameachana na mpango wa kuzinunua na nyingine wanafikia plan B, Canada anavutika zaidi kujiweka karibu zaidi na Ulaya kuliko Marekani, nchi za Ulaya wanaongeza defence budgets kuondokana na overdepence kwa USA.

Yote haya ni hasi zaidi kwa USA kuliko kwa China na Nchi zingine duniani....

Amani usiamini baada ya hii vita kuisha ya kiuchumi hali haitakuwa kama ilivyokuwa zamani...

Mhindi Hana kiwango kikubwa Cha uzalishaji wa bidhaa alichonacho mchina,hata robo ya uwingi wa bidhaa za china kwenda Marekani hawezi kufikia,hakuna nchi duniani zinazoweza kuwa mbadala wa China,yaani unaposikia neno China linamaanisha ni nchi iliyobobea kwenye uzalishaji wa bidhaa kuliko nchi zingine.
China ni kiwanda cha dunia
 
China anafaidikaje pakubwa. Maana biashara ya china Kwa Marekani inaleta 2% tu ya Pato lote la China, jee hizo 98% China hupata toka wapi?

Biashara na Marekani ni sawa na 15% ya biashara yote China wanafanya na Marekani. Jee China hufanya biashara na nchi zipi nyingine kwa 85% zilizobakia?
Marekani analenga asilimia ngapi kutoka China? Ni only 0.7 percent
 
Hii imeandikwa kishabiki zaidi kuliko facts;
Ni kweli uhusiano wa kibiara katika ya USA na China hauko balanced [dola bilioni 440 kwa dola bilioni 145], lakini haina maana USA ana added advantage kulipoteza soko la MCHINA, Kuna makampuni mengine ya MAREKANI including Apple wana outsource baadhi ya spear kutoka China kwa sababu ya skills na cost, watchina wako highly skilled, efficient, qualuty, quantity na gharama nafuu kulinganisha na nchi nyingi duniani. Hii supply Chain ina athari kubwa pia kwenye uzalishaji wa baadhi ya makampuni makubwa Marekani na ajira za Wamarekani.

Pili China ni ya pili baada ya Japan kwa kuwekeza/kuikopesha Marekani kupitia bonds/treasury bills hivyo Kuna athari ikiwa wata weaponize hili wanaweza kuathiri uchumi wa USA.

Tatu Marekani alivyoliendea hili sii kiungwana, ni kama kichaa maana ni zaidi ya nchi 90 duniani, lakini pia Mchina ameonesha restraint na maturity.... Kuna baadhi ya nchi including za Ulaya bado hawako tayari kumpa kisogo Mchina.

Rejea ziara ya Waziri Mkuu wa Hispania lakini pia Mkutano wa pili wa EU leaders na China utakaofanyika July jijini Beijing.

My Take; Hii vita ya kiuchumi tunaweza kushuhudia yafuatayo:-
1. Kushuka kwa imani ya mataifa mengi dhidi ya USA hali ambayo itashusha hadhi ya DOLLA na Utawala wa uchumi wa USA duniani.
2. Nchi nyingi hawatakubali kuwa USA kama sole trade partner na badala yake watafanya diversification including kuboresha mahusiano na China.
3. Tunaweza kushuhudia USA akitengwa zaidi duniani hali ambayo itapelekea kuanza kwa safari ya kuhitimika kwa ukiranja wa Marekani duniani... kumbuka mpaka nchi washirika wameanza kujiuliza ikiwa F-35 hazina kill switch, Canada wameachana na mpango wa kuzinunua na nyingine wanafikia plan B, Canada anavutika zaidi kujiweka karibu zaidi na Ulaya kuliko Marekani, nchi za Ulaya wanaongeza defence budgets kuondokana na overdepence kwa USA.

Yote haya ni hasi zaidi kwa USA kuliko kwa China na Nchi zingine duniani....

Amani usiamini baada ya hii vita kuisha ya kiuchumi hali haitakuwa kama ilivyokuwa zamani...
Umewawakilisha vyema wanawake 👏👏
 
Mimi nadhani tujitahidi kujadili kiuhalisia. Ndiyo maana nimeuliza kwani Marekani kilichoifanya iwe tajiri ni kutokana na kuzalisha bidhaa kwa wingi na kuuza nje?

Trump anazungumzia naksi ya kibiashara Kati yake na nchi nyingine, lakini hiyo naksi imetokeaje na jee inawezaje kuondolewa kwa kutoza Kodi/ushuru wa juu kwa bidhaa toka nchi nyingine?

Na itachukua miaka mingapi Kwa Marekani kupunguza naksi hiyo ya kibiashara na nchi nyingine?

Peter Navarro mshauri wa Rais anagombana hadharani na mshauri mwingine wa Rais Elon Musk. Navarro anamwabia Musk kuwa yeye si mtengeneza magari Bali muunganisha magari kwa kutumia vipuri toka china na nchi zingine.
Ni kwa sababu ya dollar yake pia usa natumia sana kuliko uwezo wake na ndio maana anakopa sana . Pia usa inaweza kuprint dollar na zikagombaniwa dunia na asipate athari yoyote
 
Huruma hakuwaonea penguins awaonee wa tz 😀😀 (joke)

Ulitaka upeleke bidhaa bure bila ushuru?
Tanzania mnatoza asilimia ngapi kwa bidhaa ya Us.
Mkuu kuuliza sisi tunatoza asilimia ngapi ni kutuonea pia, maana mmarekani akiamua tusimtoze chochote anaweza.

Hizo asilimia tulizomuwekea ni basi tu isionekana anaingilia mamlaka ya nchi zetu 😂😂
 
China anauza Marekani takribani Dola bilioni 500 huku Marekani ikiuza china Only dollar bilioni 140 pekee unaona trade deficit hapo?
Makampuni ya Marekani yanatumia China kuzalisha bidhaa.

If they take away manufacturing from China, China itaumia zaidi
 
View attachment 3301425

Trump akisubiria simu ya Xi wanegotiate ​
I like this.

Kwa walioona, utawala wa Trump una lugha mbaya sana ya dharau, ubabe na udhalilishaji kwa mataifa mengine na viongozi wao.

Kwa walioshuhudia udhalilishaji aliofanyiwa Zelenskyy pale White House na kejeli zinazoendelea kutolewa na Trump, Musk, Vance na Hegseth dhidi ya EU, Canada, Mexico, na Denmark wataelewa (wakipenda). Dunia imeshuhudia.

Kwa China, Trump ameamsha zimwi la Mao Zedong! Xi aliingia madarakani kuhakikisha China inasimama kama super power, isidharauliwe na Marekani kwa vile tu imekubali uchumi wa soko na biashara huria (free trade).

Xi ni muumin wa Mao kiasi chake. China imeshatahadharisha utawala wa Trump kuwa HAITAKI DHARAU. Trump atasubiri sana simu ya Xi. Xi hana kikwazo cha opinion polls. Wala Hana uchaguzi unaomkabili. Tuone. Who will blink first.
 
Mkuu kuuliza sisi tunatoza asilimia ngapi ni kutuonea pia, maana mmarekani akiamua tusimtoze chochote anaweza.

Hizo asilimia tulizomuwekea ni basi tu isionekana anaingilia mamlaka ya nchi zetu 😂😂
Hahahaaa sisi na wale penguins kibiashara na US tuko sawa sawa😂😂
 
Back
Top Bottom