china ana advantage kwenye manufacturing supply chain, ndio maana anakimbiza dunia nzima na wala sio cheap labour.
Trump mwenyewe amesanda huko kaanza kuondoa tarrifs zake kwenye electronics baaada ya kugundua america hakuna supply chain ya kuwafanya waweze kuzalisha electronics wenyewe ndani ya USA