Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA?
Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini.
Lakini Wachina ambao ni marafiki wa CCM sijaelewa kwanini wapo kwenye mkutano mkuu wa chama.
Kuna siri gani au Wachina nao wameanza kumwaga hela CHADEMA?