Pre GE2025 Wachina wanafanya nini kwenye Uchaguzi wa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Great thinker shwaaaaaa!.

Kumebaki na takataka tu humu, yaani ukiandika barua za kuwakaribisha majirani zako kwenye sherehe yako, jirani mwenzio anahoji 'huyu kufuata nini hapa?'
hata wewe ni trash mana bado upohumu na unachangia
 
Great thinker shwaaaaaa!.

Kumebaki na takataka tu humu, yaani ukiandika barua za kuwakaribisha majirani zako kwenye sherehe yako, jirani mwenzio anahoji 'huyu kufuata nini hapa?'
Kwaiyo mchina ni jiran ya nani? Kwa mantiki yako
 
Wakuu,

Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA?

Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini.

Lakini Wachina ambao ni marafiki wa CCM sijaelewa kwanini wapo kwenye mkutano mkuu wa chama.

Kuna siri gani au Wachina nao wameanza kumwaga hela CHADEMA?
Ni lini imepita siku bila wewe kutumia bidhaa ya KICHINA ndugu?
 
Ni CCM tu ndiyo husema CCP ni rafiki wake ila wachina chama chochote kitakachotawala ni rafiki wao kwa maslahi ya nchi yao
 
Wakuu,

Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA?

Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini.

Lakini Wachina ambao ni marafiki wa CCM sijaelewa kwanini wapo kwenye mkutano mkuu wa chama.

Kuna siri gani au Wachina nao wameanza kumwaga hela CHADEMA?
UNGEKAA ZAKO KIMYA WALA TUSINGEJUA KAMA WEWE NI CHIZI....nb MMI SIO MWANACHAMA ni MWANANCHI😁😁😁
 
Ndio Maana Tanzania uchumi wake unakua sana watu Wanashabikia Siasa na kuzaa wapiti bila kelele... Hata nyumba zao wanaweka sligboad kuondoa kelele
fredgraph (4).png
 
Ndio Maana Tanzania uchumi wake unakua sana watu Wanashabikia Siasa na kuzaa wapiti bila kelele... Hata nyumba zao wanaweka sligboad kuondoa kelele
fredgraph (3).png
 
Ndio Maana Tanzania uchumi wake unakua sana watu Wanashabikia Siasa na kuzaa wapiti bila kelele... Hata nyumba zao wanaweka sligboad kuondoa kelele
fredgraph (2).png
 
Ndio Maana Tanzania uchumi wake unakua sana watu Wanashabikia Siasa na kuzaa wapiti bila kelele... Hata nyumba zao wanaweka sligboad kuondoa kelele
fredgraph (1).png
 
Ndio Maana Tanzania uchumi wake unakua sana watu Wanashabikia Siasa na kuzaa wapiti bila kelele... Hata nyumba zao wanaweka sligboad kuondoa kelele
fredgraph.png
 
Wakuu,

Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA?

Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini.

Lakini Wachina ambao ni marafiki wa CCM sijaelewa kwanini wapo kwenye mkutano mkuu wa chama.

Kuna siri gani au Wachina nao wameanza kumwaga hela CHADEMA?
Waccm kulikuwa na machoko na wacheza ngoma na wachekeshaji
 
UNGEKAA ZAKO KIMYA WALA TUSINGEJUA KAMA WEWE NI CHIZI....nb MMI SIO MWANACHAMA ni MWANANCHI😁😁😁

Umeona wapi duniani mtu mwenye akili timamu anaenda kuhangaika na uzi ulioanzishwa na chizi?

Kusema kwamba Wewe SIO Mwanachama na ni Mwananchi tu ni aina ya uchizi pia.

Hakikisha unakunywa vidonge vyako vya schizophrenia kabla haujaja ku-comment humu

Asante!
 
Wakuu,

Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA?

Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini.

Lakini Wachina ambao ni marafiki wa CCM sijaelewa kwanini wapo kwenye mkutano mkuu wa chama.

Kuna siri gani au Wachina nao wameanza kumwaga hela CHADEMA?
Wazungu na waarabu walikua wanafanya nn kwenye mkutano mkuu wa CCM?
 
Labda ni wanachama wa CHADEMA, si kuna watanzania wenye asili ya kichina jamani?
 
Wakuu,

Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA?

Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini.

Lakini Wachina ambao ni marafiki wa CCM sijaelewa kwanini wapo kwenye mkutano mkuu wa chama.

Kuna siri gani au Wachina nao wameanza kumwaga hela CHADEMA?
Wewe ni Mediocre
 
Walipaswa kuwepo kwenye vikao vya kamati kuu ya ccm tu eti? Uliwahi kujiuliza kwanini hata madaftari ya kudumu ya wapigakura chini ya tume ya ccm ya uchaguzi yanatoka china?
 
Back
Top Bottom