unaweza ukawakumbusha wadau kifungu cha katiba ya Chadema kilichokiukwa?πWakuu,
Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA?
Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini.
Lakini Wachina ambao ni marafiki wa CCM sijaelewa kwanini wapo kwenye mkutano mkuu wa chama.
Kuna siri gani au Wachina nao wameanza kumwaga hela CHADEMA?
kama wamealikwa mabolozi wote wanao wakilisha nchi zao Tanzania ulitaka Wachina wasije? Hoja ya kijinga sana hiiWakuu,
Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA?
Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini.
Lakini Wachina ambao ni marafiki wa CCM sijaelewa kwanini wapo kwenye mkutano mkuu wa chama.
Kuna siri gani au Wachina nao wameanza kumwaga hela CHADEMA?
Una ujinga mwingi sana weweWakuu,

Great thinker shwaaaaaa!.
Kumebaki na takataka tu humu, yaani ukiandika barua za kuwakaribisha majirani zako kwenye sherehe yako, jirani mwenzio anahoji 'huyu kufuata nini hapa?'
Ila huu uchaguzi ukiisha heshima ya Lissu itakua imeshuka sana!! Kwa aina hii ya wapambe wake tumejionea mengi πunaweza ukawakumbusha wadau kifungu cha katiba ya Chadema kilichokiukwa?π
Wamekuja kujifunza Demokrasia ChademaWakuu,
Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA?
Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini.
Lakini Wachina ambao ni marafiki wa CCM sijaelewa kwanini wapo kwenye mkutano mkuu wa chama.
Kuna siri gani au Wachina nao wameanza kumwaga hela CHADEMA?
kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA?
Sijasema katiba imekiukwa nimeuliza tu kwamba Wachina ni Pro CCM
Wanafanya nini kwenye Uchaguzi wa CHADEMA
Unaumia heshima ya mwanaume mwingine tena asiyekuhusu ikishuka?Ila huu uchaguzi ukiisha heshima ya Lissu itakua imeshuka sana!! Kwa aina hii ya wapambe wake tumejionea mengi π