kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
hata wewe ni trash mana bado upohumu na unachangiaGreat thinker shwaaaaaa!.
Kumebaki na takataka tu humu, yaani ukiandika barua za kuwakaribisha majirani zako kwenye sherehe yako, jirani mwenzio anahoji 'huyu kufuata nini hapa?'
eti Lema ndio kampeni meneja 🐒Ila huu uchaguzi ukiisha heshima ya Lissu itakua imeshuka sana!! Kwa aina hii ya wapambe wake tumejionea mengi 🙌
Kwaiyo mchina ni jiran ya nani? Kwa mantiki yakoGreat thinker shwaaaaaa!.
Kumebaki na takataka tu humu, yaani ukiandika barua za kuwakaribisha majirani zako kwenye sherehe yako, jirani mwenzio anahoji 'huyu kufuata nini hapa?'
Ni lini imepita siku bila wewe kutumia bidhaa ya KICHINA ndugu?Wakuu,
Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA?
Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini.
Lakini Wachina ambao ni marafiki wa CCM sijaelewa kwanini wapo kwenye mkutano mkuu wa chama.
Kuna siri gani au Wachina nao wameanza kumwaga hela CHADEMA?
Kama mhuni Lema anavyoumia na heshima ya mbowe!!Unaumia heshima ya mwanaume mwingine tena asiyekuhusu ikishuka?
UNGEKAA ZAKO KIMYA WALA TUSINGEJUA KAMA WEWE NI CHIZI....nb MMI SIO MWANACHAMA ni MWANANCHI😁😁😁Wakuu,
Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA?
Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini.
Lakini Wachina ambao ni marafiki wa CCM sijaelewa kwanini wapo kwenye mkutano mkuu wa chama.
Kuna siri gani au Wachina nao wameanza kumwaga hela CHADEMA?
Waccm kulikuwa na machoko na wacheza ngoma na wachekeshajiWakuu,
Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA?
Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini.
Lakini Wachina ambao ni marafiki wa CCM sijaelewa kwanini wapo kwenye mkutano mkuu wa chama.
Kuna siri gani au Wachina nao wameanza kumwaga hela CHADEMA?
UNGEKAA ZAKO KIMYA WALA TUSINGEJUA KAMA WEWE NI CHIZI....nb MMI SIO MWANACHAMA ni MWANANCHI😁😁😁
Wazungu na waarabu walikua wanafanya nn kwenye mkutano mkuu wa CCM?Wakuu,
Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA?
Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini.
Lakini Wachina ambao ni marafiki wa CCM sijaelewa kwanini wapo kwenye mkutano mkuu wa chama.
Kuna siri gani au Wachina nao wameanza kumwaga hela CHADEMA?
Wewe ni MediocreWakuu,

Walipaswa kuwepo kwenye vikao vya kamati kuu ya ccm tu eti? Uliwahi kujiuliza kwanini hata madaftari ya kudumu ya wapigakura chini ya tume ya ccm ya uchaguzi yanatoka china?Wakuu,