ikumbukwe watu walilipwa mabilioni ya shillingi kama fidia ni pesa nyingi sana zimepotelea humo Bagamoyo kama hakuna Bandari ina maana waliolipwa pesa watazirejesha? au nyumba zao viwanja vyao ni mali ya Serikali?Huu mradi naona kama vile umekufa kwa sura ya nje ila ndan bado unaendelea kama kawaida sababu bagamoyo sasaiv naona wamejenga ma godaun ya kufa mtu Sasa sijui hayo magodaun ni ya nn kama sio io Bandar
Rais mpya wa Malawi kamuondolea kinga ya kutoshitakiwa Rais wa zamani na yule IGP wa malawi aliyekuwa akitoa Amri za kuwaonea wapinzani kama Tanzania na yeye kafukuzwa kazi, huenda wameona malawi sasa wanasaka mbinu za kutafuta visingizio vya kubakia madarakani mpaka kuzeekea ikulu kama Rais wa Cameroon.
Hata ukiyatoa maeneo hayo kwa wafanyabiashara tambua kwamba tunahitaji bandari nyingine moja au mbili zenye viwango vya kimataifa. (Bandari ya Tanga na Mtwara)Hapana yale maeneo yatolewe kwa wajenga viwanda, hoteli na biashara nyingine. Kuna wengi sana wanasubiri kula pale na wanajaribu sana kumsahaulisha.
Bandari nyingi uchochea uchumi,ujui ya bagamoyo itahudumia kaskazini,na Kanda ya ziwa,plus nchi jirani
Lengo la Bandari ya Bagamoyo ilikuwa ni kuua soko la Dubai, Qatar, Oman Bidhaa zote za huko zinazokuja Africa ziletwe Bagamoyo waje kukunua hapo, ingekuwa ni Bandari kubwa Africa nzima na kampuni kubwa za magari na bidhaa zingine zingewekeza Bagamoyo, Reli kiwanja cha Ndege kingine kingejengwa Bagamoyo , pengine Bagamoyo ingekuja kugeuka kuwa Dubai ya Africa, wamekwamishwa kisa wamegoma kutoa 10% kwa Naibu Rais ndugu Bashite na wenzake, lakini wakiamua kutoa 10 hata mda huu nina hakika Bandari itajengwa kwani Bandari ya Dsm ina kina kifupi na ipo uchochoroni meli kubwa za kimataifa hushindwa kufika.Bandari nyingi uchochea uchumi,ujui ya bagamoyo itahudumia kaskazini,na Kanda ya ziwa,plus nchi jirani
ikumbukwe watu walilipwa mabilioni ya shillingi kama fidia ni pesa nyingi sana zimepotelea humo Bagamoyo kama hakuna Bandari ina maana waliolipwa pesa watazirejesha? au nyumba zao viwanja vyao ni mali ya Serikali?
Hivyo visingizio ni propaganda za CCM ili kuharalisha Uongo wao, kila Bandari ingekuwa na majukumu yake, Mfano wangeamu Bandari ya Dsm iwe Bandari ya meli za mafuta, bidhaa za ndani ya Nchi na kusafirisha bidhaa, Bandari ya Tanga inafanya kazi sawa na ya Dsm na Hiyo Bandari ya Bagamoyo ingekuwa ni Bandari ya kimataifa tu hakuna kupitisha bidhaa za ndani.Kwa mkataba ulivyokuwa hiyo bandari ya bagamoyo ingeua bandari ya Dar
Yaani mkataba ulikuwa unakataza bandari ya dar kupokea mizigo inayoenda nje ya Nchi
Na pia huo mkataba Tanzania haturuhusiwi kukusanya kodi kwa miaka 999
Lengo la Bandari ya Bagamoyo ilikuwa ni kuua soko la Dubai, Qatar, Oman Bidhaa zote za huko zinazokuja Africa ziletwe Bagamoyo waje kukunua hapo, ingekuwa ni Bandari kubwa Africa nzima na kampuni kubwa za magari na bidhaa zingine zingewekeza Bagamoyo, Reli kiwanja cha Ndege kingine kingejengwa Bagamoyo , pengine Bagamoyo ingekuja kugeuka kuwa Dubai ya Africa, wamekwamishwa kisa wamegoma kutoa 10% kwa Naibu Rais ndugu Bashite na wenzake, lakini wakiamua kutoa 10 hata mda huu nina hakika Bandari itajengwa kwani Bandari ya Dsm ina kina kifupi na ipo uchochoroni meli kubwa za kimataifa hushindwa kufika.
Naibu Rais Daud Bashite kasema Wachina wasipompa 10% yake hakuna cha Bandari wala kitu gani.Hata ukiyatoa maeneo hayo kwa wafanyabiashara tambua kwamba tunahitaji bandari nyingine moja au mbili zenye viwango vya kimataifa. (Bandari ya Tanga na Mtwara)
Lengo la Bandari ya Bagamoyo ilikuwa ni kuua soko la Dubai, Qatar, Oman Bidhaa zote za huko zinazokuja Africa ziletwe Bagamoyo waje kukunua hapo, ingekuwa ni Bandari kubwa Africa nzima na kampuni kubwa za magari na bidhaa zingine zingewekeza Bagamoyo, Reli kiwanja cha Ndege kingine kingejengwa Bagamoyo , pengine Bagamoyo ingekuja kugeuka kuwa Dubai ya Africa, wamekwamishwa kisa wamegoma kutoa 10% kwa Naibu Rais ndugu Bashite na wenzake, lakini wakiamua kutoa 10 hata mda huu nina hakika Bandari itajengwa kwani Bandari ya Dsm ina kina kifupi na ipo uchochoroni meli kubwa za kimataifa hushindwa kufika.
Hivyo visingizio ni propaganda za CCM ili kuharalisha Uongo wao, kila Bandari ingekuwa na majukumu yake, Mfano wangeamu Bandari ya Dsm iwe Bandari ya meli za mafuta, bidhaa za ndani ya Nchi na kusafirisha bidhaa, Bandari ya Tanga inafanya kazi sawa na ya Dsm na Hiyo Bandari ya Bagamoyo ingekuwa ni Bandari ya kimataifa tu hakuna kupitisha bidhaa za ndani.
CHADEMA ndio waliosaini mkataba kwa mara ya kwanza (first instance) serikali sikivu ikafuta deal hiyo.Kuna haja gani kujenga bandari mbili katika umbali mfupi?
Akili za Chadema bwana, mtaishia hivyo hivyo
Atakuja kiongozi mwingine hii miradi akikuta ataipiga chini naye atafanya yakeKuna haja gani kujenga bandari mbili katika umbali mfupi?
Akili za Chadema bwana, mtaishia hivyo hivyo
Mzee kama umeisoma tuweke hapa utupe elimu sisi nymbzWewe mlugaluga ulisoma mashariti ya hiyo bandari ya wachina pale bagamoyo?
Au unabweka km mjinga
Kwanini unawalaumu Cdm katika hili sakata ?!. Waliokula rushwa kuingia mikataba mibovu ni hao hao wana Ccm . Na aliyezuia ni hao hao Ccm, sasa Cdm insinhiaJe humu ?! Au usipowataja siku haihesabiki ?! UNAKERAWewe kumbe ni giza totoro kichwani! Nyie ndio Chadema mnajiita wasomi!
Unajua kitu hichi kilichobuniwa na china?View attachment 1494413
Ni kweli kabisa hatuna kiongozi anayeweza kupambana na mabeberu manake aliyepo ndio kabisa kilaza wa diplomasia na hata hajui lugha na wala jinsi ya kukaa kwenye kiti na watu wastaarabu na kuzungumza kwa hoja. Yeye atataka atoe maagizo ya kienyeji kwa wachina au wazungu haiwezekani. Hayo yanawezekana kwa wateule wake wanaomwabudu na sio kwenye round table discussion. Kwa sasa tusubiri rais ajaye baada ya huyu tyrant.Magufuli akitaka afanikiwe jambo hili, asilifanye kutafuta kiki ya kisiasa, kama hulka yake ilivyo. Nasema hivyo kwa sababu, rasilimali huwezi kuzilinda hivi hivi, kama hauna demokrasia ya kweli kweli katika jamii unayoiongoza.
Vinginevyo na yeye atataka aone maslahi yake; na akiua upinzani tu tumekwisha. Kuna miradi sugu ni sumu kwenye hivi vi nchi vyetu ndani ya bara la afrika.
Sijaona kiongozi wa kupambana na mabeberu, in Tanzania bado hatujapata brave and smart leader mpaka sasa, waliopo hawayatazami matatizo yetu serious.
Huyo ni zuzu wa ccm achana naye.Kwanini unawalaumu Cdm katika hili sakata ?!. Waliokula rushwa kuingia mikataba mibovu ni hao hao wana Ccm . Na aliyezuia ni hao hao Ccm, sasa Cdm insinhiaJe humu ?! Au usipowataja siku haihesabiki ?! UNAKERA
Mungu wangu. Sasa unambie hao ni watanzania ama majambazi yaloingia mkataba kama huo maana yake bandari ilikuwa inaua uchumi wetu. Zitto na Ndugai kuna kitu gani mpaka wanautetea huo mkataba.Kwa mkataba ulivyokuwa hiyo bandari ya bagamoyo ingeua bandari ya Dar
Yaani mkataba ulikuwa unakataza bandari ya dar kupokea mizigo inayoenda nje ya Nchi
Na pia huo mkataba Tanzania haturuhusiwi kukusanya kodi kwa miaka 999