Wachina wanasubiri Rais Magufuli aondoke kwenye bandari

Watanzania ujuaji utatuponza mkali kaondoka sasa wanakuja watu wa fursa na ruhusa madarakani, tumeanza na kuondoa kodi kwa kigezo eti tutumie akili kukusanya kodi ajabu sana.

Siku si nyingi mradi wa bwawa la umeme mwl nyerere nalo litazuiwa kujengwa hoja itakuja ile ile yakuharibu mazingira huko mana mfano tumesha uona tayari kwenye stend ya Magufuli kule mbezi CAG anasema ni chanzo cha foleni .

Anyway, twendeni tu tutajua huko baadae akili zikikaa sawa tukiamka usingizini tutaelewa kuwa ni nani alikuwa na nia njema na nchi hii.
Tunapiga hatua mbili mbele kisha tunarudi nyuma hatua nane.
 

Tulisha toa onyo mwaka jana!. Tuwe makini na spika tayari yeye, Bushiru na Kikwete wako mifukoni mwa China. China wanataka base ya jeahi pale na wameshasema na ndiyo maana hawataki kuhojiwa wakijenga .
 
Duh,kuna watu wana maono makali sana...
 
Kweli aisee
 
Huu ni Ujinga, hata kama China wakimiliki hiyo Bandari Tatizo liko wapi? Duniani Kote bandari nyingi tu zinamilikiwa na Private Operators, Serikali kazi yake ni kukusanya Kodi Ushuru mbalimbali
Hata kodi walikuwa hawaruhusu ikusanywe na serekali ya Tz kwa mujibu wa terms
 
Tujifunze kua na Akiba ya maneno!
 
Kama nia yao ni kuwa na bandari hapa Tanzania wameshindwa nini kuicontrol hii iliyopo, kwanini waingie gharama kubwa kujenga nyingine.
 
Ngoja kwanza, unasema......
 
Nimeupandisha huu mjadala tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…