Wachina watoka machozi ya damu-TRUMP Azuia Havard Kudahili wageni

Nawe unataka kuamini upuuzi wa huyu dogo ?
Kadanganya eti!! au kipi ni kipi!!!
Sikuizi mchina anatisha sio kitoto asee marekani anaparangana kumdhibiti hili asiikamate nafasi ya u super power🤣
 
sema wewe ujenge nchi yako, wengine tunaijenga MARIKANI
Uko marekani ya bonyokwa labda. Halafu huyo trump mnampapatikia yeye anaangalia ya nchi yake ...nyinyi shithole country ya kwenu hamuyaoni ambayo ni mengi hakuna idadi ..umaskini, ujinga maradhi uchawi ufisadi, uchawa, ...hata huyo china mnaemcheka kwa kufanyiwa petty things na huyo mwehu itaichukua Tanzania labda miaka 100 kuifikia ..kama huyo mental retarded president kasanda Hadi akaamua kuita kikao Cha maridhiano ya tariffs kilichofanyika kule uswisi atawababaisha nini china.
 
Mbona taarifa yako inaonesha USA anaongoza overall kwenye kila nyanja. Yaani mfano wako ni sawa na shule moja kutoa mwanafunzi mmoja bora kitaifa alafu overall performance wakazidiwa.
Tunaongelea Technology Sijakataa field nyengine. Angalia field kama Engineer ambayo inazalisha hizo tech nyengine.
 
Watu hawawezi kukuelewa hapa. Watatokwa sana na povu. Mimi nliwahi Mwuliza mchina mmoja very smart Marekani kwa nini asiende kufanya kazi kwao. Aliniambia hilo halitatokea hataki kwenda ishi China.
Hata Australia, wachina ni wengi sana, lakini ukiongea nao, hawataki kabisa kusikia habari ya China.
 
source ni wikipedia ambayo mtu yeyote anajiandikia tu pasipo uthibiti wowote credible halafu chapisho linahusu Performance Ranking of Scientific Papers for World Universities so wewe unahitimisha kwamba kwenye engineering field na teknolojia mchina kampita mmarekani!!! aisee
 
Kwani Marekani chuo ni Harvard tu?
 
Binti yake Xi Jinping kasoma USA Harvard tena kozi yenyewe basi Bachelor of Arts degree in psychology!!! wanazi wa wachina waseme hapa katika vitu wanavyotumia watanzania katika maisha ya kila siku ni vipi hasa wagunduzi wake teknolojia hizi ni wachina na tafiti kutoka vyuo vya uchina? Labda yale madawa yao feki yanayoongoza kuua figo
 
Marekani haina mwenyeji, Trump anajitekenya na kucheka mwenyewe
 
Watu hawawezi kukuelewa hapa. Watatokwa sana na povu. Mimi nliwahi Mwuliza mchina mmoja very smart Marekani kwa nini asiende kufanya kazi kwao. Aliniambia hilo halitatokea hataki kwenda ishi China.
Unajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya wanasayansi Wachina waliokuwa Marekani wanarudi China?
 
Unajitahidi sana kuandika pumba
 
Kama Hujui kutumia Wikipedia sio kosa langu omba ufundishwe, mtu yoyote muelewa anaweza tofautisha Wikipedia fake na Original. Article feki haina citation.
 
Ukiona wanafunzi kutoka China wanaenda kusoma nje ya China ujue hawajapata nafasi katika vyuo bora vya China.

Kupata nafasi kwenye vyuo bora vya China sio jambo rahisi inataka uwe na grade za maana
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…