mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Kinakimbiliwa kutokana na sifa kilichonazoKwani Marekani chuo ni Harvard tu?
Nasikia kuingia Tsinghua ni balaa mno, wanaingia chini ya 1% ya wanaofanya GaoKao.Ukiona wanafunzi wa kutoka China wanaenda kusoma nje ya China ujue hawajapata nafasi katika vyuo bora vya China.
Kupata nafasi kwenye vyuo bora vya China sio jambo rahisi inataka uwe na grade za maana
Ukiona wanafunzi wa kutoka China wanaenda kusoma nje ya China ujue hawajapata nafasi katika vyuo bora vya China.
Kupata nafasi kwenye vyuo bora vya China sio jambo rahisi inataka uwe na grade za maana
waswahili bwana, sasa wewe upate kazi ya 12grand/month marekani au 500bucks/month tz, utachukua 500bucks kisa uzalendo?Icho kitu ata mimi nilikisikia pia hii kitaalamu ipoje mkuu
Kwanini jamaa wanakosa uzalendo kiasi hicho
Nasikia kuingia Tsinghua ni balaa mno, wanaingia chini ya 1% ya wanaofanya GaoKao.
Wachina wanaosoma kule wanaheshimika kinoma.
Xi Mingze ni kilaza mmoja tuKwa hiyo binti wa Xi Jinping hakupata nafasi kwenye vyuo bora 😀😀😀😀😀 vya China mpaka ikabidi aende Harvard?
wachina ni wapenzi wa mama waje tu UDOMWachina wanalia machozi sasa Trump mjanja sana sana sana, huyu jamaa anakupiga engo zote kama kitenesi
wachina pesa ipo wanakimbilia Havard kusoma kisha wanaleta uchina Amerika, sasa mwamba kasema Wanafunzi wote wa kigeni walio Havard wahamishiwe kwingine kabla visa zao hazijaexpire na wamepewa muda mchache tu, mtoto wa XI nae ni mwanafunzi pale Havard
msako wa nyani tumbili haponi
Aisee duh anyway ndiyo uelewa wako ulivyoKama Hujui kutumia Wikipedia sio kosa langu omba ufundishwe, mtu yoyote muelewa anaweza tofautisha Wikipedia fake na Original. Article feki haina citation.
Sio kweli kabisa, sasa wanatumia pesa nyingi kwenda kusoma kwenye nchi za watu kwa sababu gani.2014,
Sasa hivi Vyuo vingi vya China vina surpass vyuo vya Marekani atleast kwenye tech ngumu kama Engineer
Inawezekana.Kwa hiyo binti wa Xi Jinping hakupata nafasi kwenye vyuo bora 😀😀😀😀😀 vya China mpaka ikabidi aende Harvard?
Unajitahidi sana kuandika pumba
M
Mbona kama unapaniki? Usipaniki. Mwenzio kaandika facts zake kwa lugha tu ya kisomi na kistaarabu. Wewe tayari ushakasirika na maneno ya namna hiyo. Why?
Hatuwezi kuwaacha wanaondika pumba lazima wasemwe waache maujinga yao
1. Mtoto wa Xi alishamaliza.
2. Trump anaamini Harvard inawahifadhi wanafunzi wanaotetea palestina na kuchukia wayahudi. Pia anaamini Harvard ina mahusiano na chama cha CCP cha china.
Trump anawafukuza wanafunzi wanaharakati marekani nzima, sio Harvard tu.
3. Marekani ndo itapata hasara zaidi, sekta ya usafiri na utalii inapata hasara sana, kampuni za kichina zimeanza kuthamini degree za kichina zaidi(China wana vyuo bora kama Tsinghua, HKU, PolyU na Peking).
Wachina wanaosoma marekani hawategemei ufadhili, wanalipa zaidi. Marekani itapungua GDP.
Hakuna facts yoyote iliyoandikwaHapa sasa unaonesha wewe ndo una pumba maana umeshapaniki. Wenzako wanaandika facts wewe unakuja na mihemko, unademka unatoa povu. Unajiona ni mchina 🤣
Huwezi kuelewa sababu wewe ni Fanboy,Sio kweli kabisa, sasa wanatumia pesa nyingi kwenda kusoma kwenye nchi za watu kwa sababu gani.
China hawana lolote bwana sifa yao kubwa waliyonayo ni kupiga chabo kwa wajuaji na kwenda kutengeneza photocopy. That's all.
Wewe haya mabasi ya Utong yana ubora gani ukiangalia.
Sawa. Mtoa mada kasema Wachina wanalia kwa kuwa Trump kawafungia kuingia Harvard wanaleta Uchina Marekani.Kinakimbiliwa kutokana na sifa kilichonazo