Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Huyo ana bwana wa kichina ndio anaye mweka mjini humwambii kitu kuhusu nchi ya baasha wake china yupo tayari kukutukana ili ale ban lakini atetee nchi ya baasha wake huyo.
Nikweli mkuu mmoja ndio huyu hata jina kajipa la kichina mdada fulani hivi ana yash linalo mvuruga mchina wakeOooh.... Ila wachina wameoa sana dada zetu... Ndo maana
Duh kumbeee ndiyo maanaaaaHuyo ana bwana wa kichina ndio anaye mweka mjini humwambii kitu kuhusu nchi ya baasha wake china yupo tayari kukutukana ili ale ban lakini atetee nchi ya baasha wake huyo.
Wachina wapo kariakoo wanapambania na wao kuuza yeboyebo, mkono uende kinywani wapo zambia wanapambania kulima wapooze njaa, hawana huo uwezo wa kugundua.
Ila kikishagunduliwa sasa ndo wanakuja na zile mbwembwe za simu ina betri la Mah 15,000 na hapo ndo unakuta humu JF anakuja mchina wa kwa mtogole kuandika china yawa ya kwanza duniani kutengeneza simu yenye betri la Mah 15,000🤣😅😂
Invention ina wenyewe mchina kamwe haweziTunaishi kwenye dunia ya innovations
Labda mnakimbizana na hao chinese best brainer dunia ya manzese na kariakoo.Mkuu
hii sio kweli
vyuo vingi vya china bado saana
Publications, groundbreaking technologies zipi umeziona zimetoka china?
China wewe come up with your product kwa mass production nend akwao kutokana na cheap labour
hakuna lingine lolote
hata Chinese best brain hawataki kufanya kazi kwo mbona tunakimbizana nao huku duniani
Kadanganya eti!! au kipi ni kipi!!!
Sikuizi mchina anatisha sio kitoto asee marekani anaparangana kumdhibiti hili asiikamate nafasi ya u super power🤣
Unaelewa maana ya innovation?Invention ina wenyewe mchina kamwe hawezi
Copying, faking, ndo chinese anaweza
Ndio maana nikashangilia,ukaukata mzizi paap,watu wakaweka sababu nyepesi kikandamizia uelewa wao finyu.Mi nikawa sina cha kujibu zaidi ya kufurahia kilichoujaza ubongo wangu bila kuleta malumbano.Nimekuja kuonesha non sequitur logical fallacy iko wapi.
Kwa hiyo wanaotoa mada za vyuo za kizungu nao wana mabwana wa kiingereza na kiamerika.Wapashaji hawakosekanagi.Huyo ana bwana wa kichina ndio anaye mweka mjini humwambii kitu kuhusu nchi ya baasha wake china yupo tayari kukutukana ili ale ban lakini atetee nchi ya baasha wake huyo.
Nikweli mkuu mmoja ndio huyu hata jina kajipa la kichina mdada fulani hivi ana yash linalo mvuruga mchina wake
Oooh.... Ila wachina wameoa sana dada zetu... Ndo maana
wanawake wakitanzania wanakuwa cheap sana kwa wageni
China kama wewe sio tajiri maisha yanakuwa mabaya sana, utaishia kuishi kwenye cage kama kuku, ndio maana wamejaa huko vijijini wanachezesha madubwi ya kamari.Watu hawawezi kukuelewa hapa. Watatokwa sana na povu. Mimi nliwahi Mwuliza mchina mmoja very smart Marekani kwa nini asiende kufanya kazi kwao. Aliniambia hilo halitatokea hataki kwenda ishi China.
Trump ni mpuuzi kuliko wapuuzi wote waliowahi kutokea, Wakati wa Vita vya Dunia all bright minds walikuwa wanataka kwenda sehemu ambapo watakuwa huru na kukutana watu wenye mawazo yanayofanana na kugundua vitu (na wakati huo USA ilikuwa inajinasibu kama land of the free) kwahio Bright minds nyingi zikaenda huko...Wachina wanalia machozi sasa Trump mjanja sana sana sana, huyu jamaa anakupiga engo zote kama kitenesi
wachina pesa ipo wanakimbilia Havard kusoma kisha wanaleta uchina Amerika, sasa mwamba kasema Wanafunzi wote wa kigeni walio Havard wahamishiwe kwingine kabla visa zao hazijaexpire na wamepewa muda mchache tu, mtoto wa XI nae ni mwanafunzi pale Havard
msako wa nyani tumbili haponi
Ubora wa vyuo haupimiwi kwa idadi ya machapisho. Ni sawa na kusema Tanzania inaongoza kwa uhuru wa habari na demokrasia Africa kwa sababu ina vyombo vingi vya habari(TV, Redio Stations, magezeti na vi OnlineTv)
we ndo kiherehere! twambie hii nchi unaijengaje? unaanzia wp kuijenga?tuache viherehere kwenye nchi za watu. Tujenge nchi zetu