flagship
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,641
- 1,189
Kuni mbichi na muda unazidi kwenda. Baba ametenga sufuria la ugali na ametuahidi anakwenda kutafuta kitoweo lakini mpaka sasa mambo hayajaeleweka.
Njaa inazidi kuwa kali na kila jirani ana uadui na baba na wale waliokuwa naye karibu wote aliwatenga kabla kuni hazijalowa na mvua. Mimi naona tukazane kuchochea ili mzee akirudi na kitoweo akute ugali tayari. Ni aibu kuazima kuni kwa jirani ambaye ni adui wa baba.