Ni sahihi kweli au ni kwa mtazamo wako?.Police hawatakiwi kukamata watu kwa kuhisi wamefanya kosa.
Unanizushia tu mkuu. Mimi sio polisi ila nimewahi kukamatwa na polisi na kufikishwa kituoni hata kuwekwa lock-up kwa siku 3(Three days)lakini sikupigwa.Atakuwa police uchwara huyu.
Kuna mwanangu mmoja walimkamata wakamficha Tazara tafuta weee hajulikani alipo , walipomuona hana kosa wakamwachia alikuwa rasta amerudi wamemnyoa na kawa kama kinda la ndege amekonda vidonda kibao… akakimbia na Dar yenyewe … those mazafukz know how to torture. Police ni njia iendayo KUZIMU.Unaingia kituo cha polisi utawasikia huyu anakosa gani?
embu mfungueni vikombe..utapigwa malungu ya kufa mtu..
hapo hata mahakani hawakupeleki wao ndo mahakimu
kuna jamaa yangu mpaka leo hii ni kilema alipigwa sana na polisi
kosa lenyewe walimkuta road mida ya saa 2 usiku
wampaki kwenye tenga hadi kituoni wakawagonga na malungu kisha wakawaachia..
Kiufupi polisi tz ni wangese sana!
Kama wewe sio miingoni mwao usiombe , kweli wanakamata wakosaji ila ukikamatwa na sio mkosaji mchakato wa kujua unahusika au uhusiki utaomba ardhi ipasuke uingie … Na hii inakua mbaya ukiwa NO BODY yani commonerMbona ni kama kuna kitu hujakiweka wazi mkuu?. Huyo jamaa yako aliyedakwa saa 2 usiku alikuwa ktk. mazingira gani? Katika kuhojiwa kabla ya kuambiwa upo chini ya ulinzi alikuwa anatoa majibu gani kwa maswali ya polisi waliokuja kumkamata?
Watu wengi tuna feli hapa. Tunadhani polisi aliyekuja kukamata ni Adui na huenda ana maslahi binafsi dhidi yako. La Hasha. Sivyo kabisa. Yupo kazini.
1. Tukumbuke unapokamatwa kwa kuhisiwa umetenda kosa ; wewe unaitwa ni Mtuhumiwa tuu. Haijathibitika kwamba wewe umefanya kosa. Hata ukiwekwa rumande/lock-up bado wewe ni Mtuhumiwa.
2. Tukumbuke na Tuzingatie kwamba Polisi anayekuja kukukamata yupo kikazi zaidi na hajaja kwako kupiga story. Ukimpa ushirikiano i.e. usimsumbue na kuifanya kazi hiyo kuwa ni ngumu kwake bila sababu za msingi.
3. Unapokuwa Kituo cha polisi kama Mtuhumia, kumbuka upo tayari chini ya ulinzi. Jitahidi kufanya/kutii kile polisi anachokuamuru ufanye. Kuonesha Ukaidi, Ujeuri au Kujitetea ndo hapo utafunguliwa vikombe. Zingatia kwamba yale yooote yote watakayokuamuru cjui andika hapa, weka saini hapa n.k. n.k; Usiogope fanya tu - Ukifika Mahakamani unaweza na uko Huru kuyakana/kuyakataa yote na ngoma inaanza upya mbele ya Mahakama (Hakimu).
BTW: Mm sio Polisi wala Mwanasheria - I stand to be corrected.
Sio wana hisi, ni kweli wapo juu ya sheria, kwani uongo?Wanahisi wapi juu ya sheria ndio maana anakukamata bila kukwambia kosa lako
Usiwatetee hawa washenziUnanizushia tu mkuu. Mimi sio polisi ila nimewahi kukamatwa na polisi na kufikishwa kituoni hata kuwekwa lock-up kwa siku 3(Three days)lakini sikupigwa.
Hii sio bongo ndugu yangu uwe umetoa ushirikiano au hujatoa huachiwi hivihivi either upigwe makofi au ndugu zako waje kukutoa kwa kupitia mlango wa uwani(tuyajenge).Mbona ni kama kuna kitu hujakiweka wazi mkuu?. Huyo jamaa yako aliyedakwa saa 2 usiku alikuwa ktk. mazingira gani? Katika kuhojiwa kabla ya kuambiwa upo chini ya ulinzi alikuwa anatoa majibu gani kwa maswali ya polisi waliokuja kumkamata?
Watu wengi tuna feli hapa. Tunadhani polisi aliyekuja kukamata ni Adui na huenda ana maslahi binafsi dhidi yako. La Hasha. Sivyo kabisa. Yupo kazini.
1. Tukumbuke unapokamatwa kwa kuhisiwa umetenda kosa ; wewe unaitwa ni Mtuhumiwa tuu. Haijathibitika kwamba wewe umefanya kosa. Hata ukiwekwa rumande/lock-up bado wewe ni Mtuhumiwa.
2. Tukumbuke na Tuzingatie kwamba Polisi anayekuja kukukamata yupo kikazi zaidi na hajaja kwako kupiga story. Ukimpa ushirikiano i.e. usimsumbue na kuifanya kazi hiyo kuwa ni ngumu kwake bila sababu za msingi.
3. Unapokuwa Kituo cha polisi kama Mtuhumia, kumbuka upo tayari chini ya ulinzi. Jitahidi kufanya/kutii kile polisi anachokuamuru ufanye. Kuonesha Ukaidi, Ujeuri au Kujitetea ndo hapo utafunguliwa vikombe. Zingatia kwamba yale yooote yote watakayokuamuru cjui andika hapa, weka saini hapa n.k. n.k; Usiogope fanya tu - Ukifika Mahakamani unaweza na uko Huru kuyakana/kuyakataa yote na ngoma inaanza upya mbele ya Mahakama (Hakimu).
BTW: Mm sio Polisi wala Mwanasheria - I stand to be corrected.
😎 😎eheheh jamaa hajawahi kukutana na mitihani, zinawekwa bangi na sembe, unaambiwani vyako unakubali kuandika na mbaya zaidi wanakupa ushike na mikono yako.Hiyo ya tatu ni ushuzi na upuuzwe..eti ukubali kila unachoambiwa😀😃😃...WTF MAN...
😎 Ukiwa na uhakika haujafanya kosa, na wala hauna tatizo na mamlaka kiasi cha watu kuamua kupindisha sheria. Sijui umekutwa unatembea na hakuna katazo lolote baba kubali kwend kituoni. Ukifika KOMAAna maelezo mafupi tu kuwa sina kosa narudi nyumbani kutoka katika shughuli zangu, sina maelezo zaidi ya hayo nipo tayari kwenda mahakamani.Hii sio bongo ndugu yangu uwe umetoa ushirikiano au hujatoa huachiwi hivihivi either upigwe makofi au ndugu zako waje kukutoa kwa kupitia mlango wa uwani(tuyajenge).
Hii unayosema wewe ya kwamba ukitoa ushirikiano ndio kigezo cha kutoka bila shida ni kwenye nchi za watu wanaojua utu ni nini ndio mtu atajipeleka polisi kiurahisi akiamini yuko kwenye mikono salama.
Na iwe ni 'Katiba mpya ya wananchi' sasa!KATIBA MPYA YOTE HAYA ITAYAMALIZA.
Ni kweli. Tukikosea tumekwisha tena.Tena napendekeza wale wajumbe wa Bunge la Katiba ambao sio wanasiasa wakaguliwe kwanza kama wanakadi yoyote ya chama tusije kuwekewa mamluki wa vyama hawa ndo wametufikisha hapa tulipo.Na iwe ni 'Katiba mpya ya wananchi' sasa!
Isiwe ilimradi Katiba mpya ya kubambikiwa kama ile ya Bunge la Katiba la Kikwete, kuingiliwa na machawa wa mipasho.
Hatutaki takataka kama hizo, bora isiwepo kabisa.
Mo29 wahusika ni polisi jwtz tiss hakuna cha mercenaries wala nini walioua watoto wetu ni hawahawa migambo wanaojiita jwtz na hayawani wa kuitwa polisiHilo la mo29 lina makando-kando na mauza-uza mengi. Wapo wanaodai ni watu waliokodiwa(Mercenaries), wengine wanasema ni askari kutoka Uganda/Malawi na wengine ni askari wa Jw ilhali wengine wanasema ni Polisi wetu....... yan haieleweki na ukizingatia magwanda /uniforms za polisi mtu anaweza kujishonea na akavaa kutekeleza lengo ovu.
Huyu ni atheist yeye na wenzake.Hawa wachokonozi wanaopambana na kupinga uwepo wa Mungu sidhani kama ni watu sahihi wa kuleta tija kwenye jamii.Joseph Mrindoko wa Wachokonozi amesema kuna changamoto katika utawala wa sheria, utendaji wa baadhi ya watumishi wa serikali na uelewa wa wananchi kuhusu haki zao za kisheria.
Soma pia: Wachokonozi: Kwa sheria za nchi yetu, lile halikuwa zoezi la ukamataji, niliona ni weledi mdogo katika utendaji kazi
Amesema baadhi ya Watanzania huamini kuwa mtu anapohojiwa au kushikiliwa na polisi tayari ana hatia, badala ya kutambua kuwa anaweza kuwa anachunguzwa au anatuhumiwa bila hatia kuthibitishwa.
Via: The Chanzo
Katiba mpya itawapa watawala hofu. Imagine una katiba ambayo eti Rais hata afanye madudu gani akitoka madarakani hashtakiwi. Hapo lazima awe juu ya sheria(kinara wa kuvunja Sheria)Mimi nawashangaa wananchi wanavyoidai katiba mpya wakati sheria zilizopo zinavunjwa tu pasipo kuwa na hatua wala adhabu za kuchukuliwa
Mi wakinifanyia huo ujinga ipo siku ntatembea na petrol na kiberiti.Unaingia kituo cha polisi utawasikia huyu anakosa gani?
embu mfungueni vikombe..utapigwa malungu ya kufa mtu..
hapo hata mahakani hawakupeleki wao ndo mahakimu
kuna jamaa yangu mpaka leo hii ni kilema alipigwa sana na polisi
kosa lenyewe walimkuta road mida ya saa 2 usiku
wampaki kwenye tenga hadi kituoni wakawagonga na malungu kisha wakawaachia..
Kiufupi polisi tz ni wangese sana!
Lakini si tumeona nguvu inatumika pasipo kufuata sheria ndugu mimi naona ni mpaka tutakapo pata rais atakae ruhusu haki na uwajibikaji ndiyo mchakato wa katiba mpya ufanyweKatiba mpya itawapa watawala hofu. Imagine una katiba ambayo eti Rais hata afanye madudu gani akitoka madarakani hashtakiwi. Hapo lazima awe juu ya sheria(kinara wa kuvunja Sheria)
Huyo unayemtaka atapatikana ndani KATIBA MPYA sio KATIBA hii.Lakini si tumeona nguvu inatumika pasipo kufuata sheria ndugu mimi naona ni mpaka tutakapo pata rais atakae ruhusu haki na uwajibikaji ndiyo mchakato wa katiba mpya ufanywe
Naye kashindwa kuwaloga ili wawe walemavu na wao? Unawatupia Jini tu, hawaoni gari linawagonga na kuwavunja miguu tu wote waliohusika kumsababishia ulemavu.Unaingia kituo cha polisi utawasikia huyu anakosa gani?