National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka niwe na wewe milelee ..... By Ray C π·π·π·ππππππππ
View attachment 2720978
Ila ni watu wazuri sana aisee
Wanawake wa kisukuma wakikalia miguu haifiki CHINI una uhakika?wakikalia kiberiti miguu haifik chin
Asante sana....πππππππ
View attachment 2720978
am proud for you mama β€οΈππ₯°Asante sana....ππ
Happy to hear that from you National Anthem ....may God bless you mucham proud for you mama β€οΈππ₯°
β₯οΈπ₯°πβ€οΈπππ.. I LOVE YOU mama π€Happy to hear that from you National Anthem ....may God bless you much
ππ
I love you more Sukuma manππβ₯οΈπ₯°πβ€οΈπππ.. I LOVE YOU mama π€
Waaaaooo π€π€π€π€ππππI love you more Sukuma manππ
UshimenThread kadhaa huanzishwa hapa jf kuwakandia na kuwasiliba Wasukuma.
Wapo wanaosema mara Wasukuma hawaogi.
Mara Wasukuma ni washirikina.
Mara Wasukuma ni washamba .
Yote hayo inaweza kuwa Sawa lakini kaa ukijua hawa watu wamebarikiwa Sana.
Nimeishi Kanda karibu zote nchi hii hadi Zanzibar Ila Usukumani ni kiboko.
1. Hawa watu Wana uzazi Sana ,. Wasukuma hawahangaiki Kwa waganga kutafuta mimba wao wakigusa mwanamke Tu mimba chap, Usukumani mapacha kila Kona
2. Wasukuma ni wachapakazi Sana , hakuna msamiati uvivu Usukumani.
3. Wasukuma ni wakarimu Sana. Pamoja na kuwa na familia kubwa lakin Msukuma kumkirimu mgeni ni Jambo la lazima kwake.
4. Ardhi Yao imebarikiwa,, Wana kila kitu hawa watu,, ardhi yenye rutuba, samaki na madini . Kama unadhan nanasi tam zipo Chalinze basi ukifika Geita utajua hujui.
5. Wasukuma Wana afya za uhakika na miili ya kibantu haswa. Wasukuma si Kama wabena , waha au wangoni kwamba wakikalia kiberiti miguu haifik chin
6. Wasukuma Wana msimamo Sana,,, Msukuma akisema no ni no tena big noo
7. Wasukuma wanaushirikiano Sana. Usukumani Hadi Leo watu wanafanya kazi za kilimo kijamaa.
8. Wasukuma wana vipaji Sana, Kama ulikuwa hujui basi kaa ukijua MRISHO Ngasa ni Msukuma, Marehem Kanumba ni Msukuma, hata hum jf vipaji vya kisukuma ni Moto mfano Mtu Kama Analyse ni mtunzi hatar. Hata UMUGHAKA anaonekana Msukuma Tu japo anadai ni mkurya
Hayo ni machache Tu katika mengi waliyobarikiwa hawa watu.
Itoshe kusema Tu kwamba kelele nyingi za kuwaponda Wasukuma hutokana na wivu tu ,, maana mti wenye matunda........
Naona imekuuma Sana,, thread za kuwazodoa Wasukuma wewe kwako ni Raha mstareheToa ukabila wako mpuuzi wewe, sisi watanzania tumeshavuka huko hatuongei habari makabila na ubora wao tunaongea habari za watanzania na ubora wetu kwa pamoja.
Wasukuma kama hawajui kitu hawajivungi. Wengi huwaona kama ni washamba.Kifupi wasukuma nimeishi nqo ni washamba sana hii kitu inawangusha mno