Gorgeous96
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 293
- 691
Nakataa, kuna wanyatuzu kibao Chicago… wasukuma ni very humble, hatuna kelele.Kingine, Wasukuma sio wengi sana Marekani kama Wachaga na Wahaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakataa, kuna wanyatuzu kibao Chicago… wasukuma ni very humble, hatuna kelele.Kingine, Wasukuma sio wengi sana Marekani kama Wachaga na Wahaya.
uko sawa wanakuambia kabisa mashikolo mageniWasukuma kama hawajui kitu hawajivungi. Wengi huwaona kama ni washamba.
1. Hawa watu Wana uzazi Sana ,. Wasukuma hawahangaiki Kwa waganga kutafuta mimba wao wakigusa mwanamke Tu mimba chap, Usukumani mapacha kila Kona
Mimi sio Msukuma ila kwa namba moja naweza toa sababu za kisayansi kwanini wamejaliwa uzazi3. Wasukuma ni wakarimu sana. Pamoja na kuwa na familia kubwa lakin Msukuma kumkirimu mgeni ni Jambo la la
Miaka ya nyuma tulivyokuwa minadan huko usukuman tulichokuwa tunafanya ni kumkamata yule kiongoz wao tu bas. Utauzia kijiji kizima.Thread kadhaa huanzishwa hapa jf kuwakandia na kuwasiliba Wasukuma.
Wapo wanaosema mara Wasukuma hawaogi.
Mara Wasukuma ni washirikina.
Mara Wasukuma ni washamba .
Yote hayo inaweza kuwa Sawa lakini kaa ukijua hawa watu wamebarikiwa Sana.
Nimeishi Kanda karibu zote nchi hii hadi Zanzibar Ila Usukumani ni kiboko.
1. Hawa watu Wana uzazi Sana ,. Wasukuma hawahangaiki Kwa waganga kutafuta mimba wao wakigusa mwanamke Tu mimba chap, Usukumani mapacha kila Kona
2. Wasukuma ni wachapakazi Sana , hakuna msamiati uvivu Usukumani.
3. Wasukuma ni wakarimu sana. Pamoja na kuwa na familia kubwa lakin Msukuma kumkirimu mgeni ni Jambo la lazima kwake.
4. Ardhi Yao imebarikiwa,, Wana kila kitu hawa watu,, ardhi yenye rutuba, samaki na madini . Kama unadhan nanasi tam zipo Chalinze basi ukifika Geita utajua hujui.
5. Wasukuma Wana afya za uhakika na miili ya kibantu haswa. Wasukuma si Kama wabena , waha au wangoni kwamba wakikalia kiberiti miguu haifik chin
6. Wasukuma Wana msimamo Sana,,, Msukuma akisema no ni no tena big noo
7. Wasukuma wanaushirikiano Sana. Usukumani Hadi Leo watu wanafanya kazi za kilimo kijamaa.
8. Wasukuma wana vipaji Sana, Kama ulikuwa hujui basi kaa ukijua MRISHO Ngasa ni Msukuma, Marehem Kanumba ni Msukuma, hata hum jf vipaji vya kisukuma ni Moto mfano Mtu Kama Analyse ni mtunzi hatar. Hata UMUGHAKA anaonekana Msukuma Tu japo anadai ni mkurya
Hayo ni machache Tu katika mengi waliyobarikiwa hawa watu.
Itoshe kusema Tu kwamba kelele nyingi za kuwaponda Wasukuma hutokana na wivu tu ,, maana mti wenye matunda........
Mwambie ngosha anitafutie [emoji38][emoji38][emoji38] anaekamuliwa maziwaNi utani tu acha kupanic ngosha
Hahahaaa......Nakataa, kuna wanyatuzu kibao Chicago… wasukuma ni very humble, hatuna kelele.
Philly, DMV ,NJ too, usikariri…Hahahaaa......
Thread kadhaa huanzishwa hapa jf kuwakandia na kuwasiliba Wasukuma.
Wapo wanaosema mara Wasukuma hawaogi.
Mara Wasukuma ni washirikina.
Mara Wasukuma ni washamba .
Yote hayo inaweza kuwa Sawa lakini kaa ukijua hawa watu wamebarikiwa Sana.
Nimeishi Kanda karibu zote nchi hii hadi Zanzibar Ila Usukumani ni kiboko.
1. Hawa watu Wana uzazi Sana ,. Wasukuma hawahangaiki Kwa waganga kutafuta mimba wao wakigusa mwanamke Tu mimba chap, Usukumani mapacha kila Kona
2. Wasukuma ni wachapakazi Sana , hakuna msamiati uvivu Usukumani.
3. Wasukuma ni wakarimu sana. Pamoja na kuwa na familia kubwa lakin Msukuma kumkirimu mgeni ni Jambo la lazima kwake.
4. Ardhi Yao imebarikiwa,, Wana kila kitu hawa watu,, ardhi yenye rutuba, samaki na madini . Kama unadhan nanasi tam zipo Chalinze basi ukifika Geita utajua hujui.
5. Wasukuma Wana afya za uhakika na miili ya kibantu haswa. Wasukuma si Kama wabena , waha au wangoni kwamba wakikalia kiberiti miguu haifik chin
6. Wasukuma Wana msimamo Sana,,, Msukuma akisema no ni no tena big noo
7. Wasukuma wanaushirikiano Sana. Usukumani Hadi Leo watu wanafanya kazi za kilimo kijamaa.
8. Wasukuma wana vipaji Sana, Kama ulikuwa hujui basi kaa ukijua MRISHO Ngasa ni Msukuma, Marehem Kanumba ni Msukuma, hata hum jf vipaji vya kisukuma ni Moto mfano Mtu Kama Analyse ni mtunzi hatar. Hata UMUGHAKA anaonekana Msukuma Tu japo anadai ni mkurya
Hayo ni machache Tu katika mengi waliyobarikiwa hawa watu.
Itoshe kusema Tu kwamba kelele nyingi za kuwaponda Wasukuma hutokana na wivu tu ,, maana mti wenye matunda........
Katika 8 hapo umekosea, Mrisho Ngassa si mchezaji wa maana, yule ni mchezaji wa redioni tu, Ukiona uchezaji wake utashangaa iweje anasifiwa wakati si mchezaji wa maana, yaani hata nashangaa ilikuwaje alikwenda Yanga kwa mpira ule.Thread kadhaa huanzishwa hapa jf kuwakandia na kuwasiliba Wasukuma.
Wapo wanaosema mara Wasukuma hawaogi.
Mara Wasukuma ni washirikina.
Mara Wasukuma ni washamba .
Yote hayo inaweza kuwa Sawa lakini kaa ukijua hawa watu wamebarikiwa Sana.
Nimeishi Kanda karibu zote nchi hii hadi Zanzibar Ila Usukumani ni kiboko.
1. Hawa watu Wana uzazi Sana ,. Wasukuma hawahangaiki Kwa waganga kutafuta mimba wao wakigusa mwanamke Tu mimba chap, Usukumani mapacha kila Kona
2. Wasukuma ni wachapakazi Sana , hakuna msamiati uvivu Usukumani.
3. Wasukuma ni wakarimu sana. Pamoja na kuwa na familia kubwa lakin Msukuma kumkirimu mgeni ni Jambo la lazima kwake.
4. Ardhi Yao imebarikiwa,, Wana kila kitu hawa watu,, ardhi yenye rutuba, samaki na madini . Kama unadhan nanasi tam zipo Chalinze basi ukifika Geita utajua hujui.
5. Wasukuma Wana afya za uhakika na miili ya kibantu haswa. Wasukuma si Kama wabena , waha au wangoni kwamba wakikalia kiberiti miguu haifik chin
6. Wasukuma Wana msimamo Sana,,, Msukuma akisema no ni no tena big noo
7. Wasukuma wanaushirikiano Sana. Usukumani Hadi Leo watu wanafanya kazi za kilimo kijamaa.
8. Wasukuma wana vipaji Sana, Kama ulikuwa hujui basi kaa ukijua MRISHO Ngasa ni Msukuma, Marehem Kanumba ni Msukuma, hata hum jf vipaji vya kisukuma ni Moto mfano Mtu Kama Analyse ni mtunzi hatar. Hata UMUGHAKA anaonekana Msukuma Tu japo anadai ni mkurya
Hayo ni machache Tu katika mengi waliyobarikiwa hawa watu.
Itoshe kusema Tu kwamba kelele nyingi za kuwaponda Wasukuma hutokana na wivu tu ,, maana mti wenye matunda........
Dah! Haupo serious,, Ngasa huyu huyu mfungaji Bora taifa starsKatika 8 hapo umekosea, Mrisho Ngassa si mchezaji wa maana, yule ni mchezaji wa redioni tu, Ukiona uchezaji wake utashangaa iweje anasifiwa wakati si mchezaji wa maana, yaani hata nashangaa ilikuwaje alikwenda Yanga kwa mpira ule.
Unakumbuka alipokwenda West Ham (Uingereza) kwa majaribio aliambiwa nini na Zola? Tatizo Tanzania tunapenda kuwapa wachezaji ujiko wasio stahili hata kidogo, sikuwahi elewa kwanini Ngassa alichezea Yanga kwa mpira ule. Uchawi mwingine si mzuri unakuta mtu anajidhalilisha hivi hivi, jina kubwa lakini uhalisia finyu.Dah! Haupo serious,, Ngasa huyu huyu mfungaji Bora taifa stars