Wachukie Wasukuma uwezavyo lakini kaa ukijua wamebarikiwa sana

Your browser is not able to display this video.
 
Ushimen
 
Toa ukabila wako mpuuzi wewe, sisi watanzania tumeshavuka huko hatuongei habari makabila na ubora wao tunaongea habari za watanzania na ubora wetu kwa pamoja.
Naona imekuuma Sana,, thread za kuwazodoa Wasukuma wewe kwako ni Raha mstarehe
 
Your browser is not able to display this video.
 
Umeanza vizuri.. Ulipoanza kulinganisha na makabila mengine na kuyataja ndio unakaribisha kiharufu cha ukabila kwamba nyie ni bora sana kuliko wengine.
Kila kabila ni bora kwa engo yake na ubora wao sio kwa kufanya wengine waonekane si kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…