Wachukie Wasukuma uwezavyo lakini kaa ukijua wamebarikiwa sana

1. Hawa watu Wana uzazi Sana ,. Wasukuma hawahangaiki Kwa waganga kutafuta mimba wao wakigusa mwanamke Tu mimba chap, Usukumani mapacha kila Kona
3. Wasukuma ni wakarimu sana. Pamoja na kuwa na familia kubwa lakin Msukuma kumkirimu mgeni ni Jambo la la
Mimi sio Msukuma ila kwa namba moja naweza toa sababu za kisayansi kwanini wamejaliwa uzazi
1.Wanakula sana vyakula vya asili kuliko minyama miyekundu pamoja na kwamba ni wafugaji.Nitatoa mfano mbegu za maboga na karanga na maziwa mtindi.Mbegu za maboga zenyewe zina madini mengi sana ya Zinc ambayo yana jukumu la kuimarisha katika sell za uzazi sehemu inaitwa mitochondria ambayo mitochondria ina jukumu la kusaidia upumuaji wa cell za uzazi hivyo kitendo cha kula hizo mbegu za maboga mbegu zao za uzazi zinakuwa na nguvu sana ya kurutubisha yai la kike wakati wa wa tendo la ndoa.
3.kwa point kuwa ni wakarimu ni kweli kabisa ukikuta wasukuma wanakula wako kundi vijijini we kaa kula tu hutashikwa mkono baada ya hapo salimia watakuona wa maana sana nenda mkoa flani naujua wakila wanajificha.

Namalizia kwa kusema wasukuma walivyo wengi nchi hii wangekuwa wakorofi kama lile kabila flani nchi hii isingekalika
 
Miaka ya nyuma tulivyokuwa minadan huko usukuman tulichokuwa tunafanya ni kumkamata yule kiongoz wao tu bas. Utauzia kijiji kizima.
 

Huna hoja ila mkabila sasa wabena na waha wameingiaje???
huwezi sifia wasukuma hadi ukashfu makabila mengine

Ndo maana tunasema ushamba kwenu mzigo
 
Katika 8 hapo umekosea, Mrisho Ngassa si mchezaji wa maana, yule ni mchezaji wa redioni tu, Ukiona uchezaji wake utashangaa iweje anasifiwa wakati si mchezaji wa maana, yaani hata nashangaa ilikuwaje alikwenda Yanga kwa mpira ule.
 
Katika 8 hapo umekosea, Mrisho Ngassa si mchezaji wa maana, yule ni mchezaji wa redioni tu, Ukiona uchezaji wake utashangaa iweje anasifiwa wakati si mchezaji wa maana, yaani hata nashangaa ilikuwaje alikwenda Yanga kwa mpira ule.
Dah! Haupo serious,, Ngasa huyu huyu mfungaji Bora taifa stars
 
Dah! Haupo serious,, Ngasa huyu huyu mfungaji Bora taifa stars
Unakumbuka alipokwenda West Ham (Uingereza) kwa majaribio aliambiwa nini na Zola? Tatizo Tanzania tunapenda kuwapa wachezaji ujiko wasio stahili hata kidogo, sikuwahi elewa kwanini Ngassa alichezea Yanga kwa mpira ule. Uchawi mwingine si mzuri unakuta mtu anajidhalilisha hivi hivi, jina kubwa lakini uhalisia finyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…