Wachungaji hadi lini mtavunja ndoa za watu?

Wachungaji hadi lini mtavunja ndoa za watu?

Hahahahah ni noma sana chalyanguu, apelekeshe ufara
Hamna kumuendekeza mduwanzi kama huyo. Yani mimi ni hustle kutafuta kuku halafu anafaidi mchungaji huku pia hela ya matumizi nayoacha wife anabana ili apate sadaka ya kwenda kumnufaisha mchungaji?

Hapo umeoa familia ya watu. Yani mchungaji na mke wake (ambae unadhani ni mkeo).
 
Mtaani kwetu... Jamaa Muislam kagombana na mkewe.

Wakawa wanaenda Kwa Sheikh kusuluhisha

Sheikh akawa anamwambia Jamaa .achana na huyo mwanamke, harakisha sana kuvunja Ndoa

Jamaa akatoa Talaka zake zote 3.

Sheikh akamzunguka jamaa, akamuoa Mke wa Jamaa Sasa Sheikh ana wake wawili
Hiyo inaitwa ukiona cha nini, wenzio wanawaza watakipata lini.
 
Hamna kumuendekeza mduwanzi kama huyo. Yani mimi ni hustle kutafuta kuku halafu anafaidi mchungaji huku pia hela ya matumizi nayoacha wife anabana ili apate sadaka ya kwenda kumnufaisha mchungaji?

Hapo umeoa familia ya watu. Yani mchungaji na mke wake (ambae unadhani ni mkeo).
Mi staki hizo mbishe, asali ila mambo ya kuzoeana na watumishi hakuna
 
Kuna mmoja walikuwa wanapeana zamu ya kumpikia na kumsubiria ale ndio waoshe vyombo.Mwanamke wa zamu yake ikifika anaacha genge lake mpaka saa tatu usiku ndio arudi akalale.
Dahh kula gani huko hadi saa 3 usiku...
Akirudii hyo saa tatu mwepesiiiiii
 
Tutazivunja mpaka sku hao watu watapoamua kutumia akili zao
 
Wale wakusanya sadaka, na wanaohudumu pale kanisani ikiwemo usafi.... n.k n.k
Ahaa mke akishapewa cheo kanisani its a main way to kutafunwa, nakumbuka bi mkubwa mmoja alipewa uzee wa kanisa basi siku za mavuno huchelewa sana kurudi eti wanahesabu sadaka 😂😂😂 akili yangu mbovu nilihisi tu iko namna
 
Sasa cha kujiuliza ni kwamba sadaka iliyokusanywa mchana inahesabiwaje hadi usiku saa 4? Au ndo ile zikishahesabiwa wanapitia mahali kwenda kuzitumbua?
 
Sasa cha kujiuliza ni kwamba sadaka iliyokusanywa mchana inahesabiwaje hadi usiku saa 4? Au ndo ile zikishahesabiwa wanapitia mahali kwenda kuzitumbua?
Unafikiri hata inafika saa 4? Watu wote wanatoka saa 7 mchana ila mtu anarudi saa 11 jioni😂😂😂
 
Back
Top Bottom