Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo kama haya nao wanawake wanaangalia na mwanaume wa kumfanyia hivyo vituko..Joseph Moses ambaye ni dereva bodaboda mkazi wa Mbeya anakabiliwa na shtaka la kumtishia kumuua kwa maneno mkewe Irene Mwaikana huku chanzo cha ugomvi huo ni tabia ya mkewe ya kutoa chakula nyumbani na kupeleka kwa mchungaji.
“Mheshimiwa hakimu huyu mwanamke anakera sana, tukichinja kuku, vipaja na vidari vyote anapelekewa mchungaji, alafu mimi ninayetafuta pesa kwa shida napewa vipapatio, Nahisi anatoka naye kimapenzi, kwanza mchungaji hana mke." –Mtuhumiwa Joseph Moses.
Sasa ninachojiuliza kwanini wachungaji wanafanya mazoea na wake za watu? Mchungaji Mmoja wa dhehebu fulani aliambulia kipigo kwa kumtongoza mke wa muumini wake....
Haya mambo hadi lini??View attachment 2332082
Ndio nasema hivi huwa wanaangalia na mwanaume wa kumfanyia vituko,mimi nakutimua mapema kabisa Bora nikae bila mke.Kuna mmoja walikuwa wanapeana zamu ya kumpikia na kumsubiria ale ndio waoshe vyombo.Mwanamke wa zamu yake ikifika anaacha genge lake mpaka saa tatu usiku ndio arudi akalale.
Hata shetani upenda vitu vizuri.Kumbe wanawake warembo ni washetani eehh so wabaya ndo wa yesu?
Yaani hapa, si risasi tena, ni mtu anamezeshwa bomu, likamtawanye kinyesi cha tumboni..!! ShenzeeeeHilo sotojo la baba pasta tuu ww utakula kanyagio
Sasa kuna mchungaji hapo? Kwa hiyo hata sangoma akiamua kufungua kijiwe akawa anadai michanga tya miguu waliyokanyaga adui zako, anazini na wake na mabinti za watu au anakusanya kucha bado atakuwa mchungaji kwa kuwa anavaa kola au joho?Sasa ninachojiuliza kwanini wachungaji wanafanya mazoea na wake za watu? Mchungaji Mmoja wa dhehebu fulani aliambulia kipigo kwa kumtongoza mke wa muumini wake....
Bora huyo kashtakiwa kwa kutishia kuua, Mi ningekuwa jela kwa kesi ya Mauaji.Joseph Moses ambaye ni dereva bodaboda mkazi wa Mbeya anakabiliwa na shtaka la kumtishia kumuua kwa maneno mkewe Irene Mwaikana huku chanzo cha ugomvi huo ni tabia ya mkewe ya kutoa chakula nyumbani na kupeleka kwa mchungaji.
“Mheshimiwa hakimu huyu mwanamke anakera sana, tukichinja kuku, vipaja na vidari vyote anapelekewa mchungaji, alafu mimi ninayetafuta pesa kwa shida napewa vipapatio, Nahisi anatoka naye kimapenzi, kwanza mchungaji hana mke." –Mtuhumiwa Joseph Moses.
Sasa ninachojiuliza kwanini wachungaji wanafanya mazoea na wake za watu? Mchungaji Mmoja wa dhehebu fulani aliambulia kipigo kwa kumtongoza mke wa muumini wake....
Haya mambo hadi lini??View attachment 2332082
Ogopa sana wachungaji ambao hawapo chini ya taasisi.. wao pia ni binadamu Tamaa zao za mwili hata wakikosea hakuna wakuwakosoa kwenye uongozi wao..!!Joseph Moses ambaye ni dereva bodaboda mkazi wa Mbeya anakabiliwa na shtaka la kumtishia kumuua kwa maneno mkewe Irene Mwaikana huku chanzo cha ugomvi huo ni tabia ya mkewe ya kutoa chakula nyumbani na kupeleka kwa mchungaji.