Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hamna kumuendekeza mduwanzi kama huyo. Yani mimi ni hustle kutafuta kuku halafu anafaidi mchungaji huku pia hela ya matumizi nayoacha wife anabana ili apate sadaka ya kwenda kumnufaisha mchungaji?Hahahahah ni noma sana chalyanguu, apelekeshe ufara
Hiyo inaitwa ukiona cha nini, wenzio wanawaza watakipata lini.Mtaani kwetu... Jamaa Muislam kagombana na mkewe.
Wakawa wanaenda Kwa Sheikh kusuluhisha
Sheikh akawa anamwambia Jamaa .achana na huyo mwanamke, harakisha sana kuvunja Ndoa
Jamaa akatoa Talaka zake zote 3.
Sheikh akamzunguka jamaa, akamuoa Mke wa Jamaa Sasa Sheikh ana wake wawili
Mi staki hizo mbishe, asali ila mambo ya kuzoeana na watumishi hakunaHamna kumuendekeza mduwanzi kama huyo. Yani mimi ni hustle kutafuta kuku halafu anafaidi mchungaji huku pia hela ya matumizi nayoacha wife anabana ili apate sadaka ya kwenda kumnufaisha mchungaji?
Hapo umeoa familia ya watu. Yani mchungaji na mke wake (ambae unadhani ni mkeo).
Dahh kula gani huko hadi saa 3 usiku...Kuna mmoja walikuwa wanapeana zamu ya kumpikia na kumsubiria ale ndio waoshe vyombo.Mwanamke wa zamu yake ikifika anaacha genge lake mpaka saa tatu usiku ndio arudi akalale.
Ufutiongani wew? Hii ni pen isioisha winoπ€£π€£π€£π€£Mbona wapo wanaume wanaojikontrol
Sasa kama wewe kama kila mwanamke unayemuona unalala naye si huo ufutio utaishaa?
Mashemasi ndio wanakuwaje?Hahah tena wanawake wengi waliwao ni wale mashemasiii
Utaambiwa Wewe pepo, hawa manabii was kusema leteni kucha na nywele wameshakuwa waganga wa kienyejiUkitaka kukosana na mwanamke wa dar mseme vibaya Mtume wao wa mafuta
Ahaa mke akishapewa cheo kanisani its a main way to kutafunwa, nakumbuka bi mkubwa mmoja alipewa uzee wa kanisa basi siku za mavuno huchelewa sana kurudi eti wanahesabu sadaka πππ akili yangu mbovu nilihisi tu iko namnaWale wakusanya sadaka, na wanaohudumu pale kanisani ikiwemo usafi.... n.k n.k
Sasa cha kujiuliza ni kwamba sadaka iliyokusanywa mchana inahesabiwaje hadi usiku saa 4? Au ndo ile zikishahesabiwa wanapitia mahali kwenda kuzitumbua?Ahaa mke akishapewa cheo kanisani its a main way to kutafunwa, nakumbuka bi mkubwa mmoja alipewa uzee wa kanisa basi siku za mavuno huchelewa sana kurudi eti wanahesabu sadaka πππ akili yangu mbovu nilihisi tu iko namna
Unafikiri hata inafika saa 4? Watu wote wanatoka saa 7 mchana ila mtu anarudi saa 11 jioniπππSasa cha kujiuliza ni kwamba sadaka iliyokusanywa mchana inahesabiwaje hadi usiku saa 4? Au ndo ile zikishahesabiwa wanapitia mahali kwenda kuzitumbua?