peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hakuna mgogoro hapo, ni watu hawajui kupiga injili wanalinda vyeo vyaoOna huyu naye. Eti hisia zake binafsi anaziita tetesi. Acheni kutukuza watu, mnakuza migogoro isiyo ya lazima.
Hizo ndio hisia zako halisi. Unasingizia eti tetesi za watu, upuuzi mtupu. Mshauri aanzishe kanisa lake.Hakuna mgogoro hapo, ni watu hawajui kupiga injili wanalinda vyeo vyao
Unajua maana ya neno upuuzi mtupu?Hizo ndio hisia zako halisi. Unasingizia eti tetesi za watu, upuuzi mtupu. Mshauri aanzishe kanisa lake.
Ni Kazi sana kuitofautisha Kijitonyama na Ufipa st!Naomba usiku na mchana, KKKT wasije wakamjibu Mchungaji Kimaro Wala kujibu chochote kutoka kwenye media. Kimaro hakutakiwa kuzungumza mambo yake kwenye public.
Askofu wa jimbo tena?!Anayepigiwa kura kuwa Askofu wa Dayosisi lazima awe Askufu wa Jimbo. Sasa mchungaji wa usharika atapigiwaje kura kuwa Askofu wa Dayosisi?
Wachungaji watafute kazi zingine za kuwaingiziab kipatoIli kuepuka migogoro, kanisa liache kuwahamasisha waumini kutoa sadaka, tutoe kwa moyo. Watoaji tuwe wachache mapato yapungue, migogoro iishe kabisa
Paul alikuwa ni tents maker. Kampuni yake ilikuwa ikitengeneza tents na kusambaza Ulaya yote.Wachungaji watafute kazi zingine za kuwaingiziab kipato
Yesu alikuwa seremala
Petro na nduguye Andrea walikuwa wavuvi.
Matayo alikuwa tax officer.
Hivi hii ni tetesi au mtazamo wako..!!?? Maana naona heading ni tetesi lakini content ni mtazamo wako.Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu , Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.
Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa wamejikomboa kiimani na kimaisha.
Akili mbovu kabisa za kimihemkoIwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu , Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.
Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa wamejikomboa kiimani na kimaisha.
Hamna kitu kama hicho. Hawezi kupata hata nusu ya kula. hamnaga askofu aliyechangamka kama mlokole vile.Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu , Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.
Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa wamejikomboa kiimani na kimaisha.
Awe mkuu wa jimboAnayepigiwa kura kuwa Askofu wa Dayosisi lazima awe Askufu wa Jimbo. Sasa mchungaji wa usharika atapigiwaje kura kuwa Askofu wa Dayosisi?
PhD gani?Ila kkkt wanabiti sana. Hivi bila PhD hiwezi ukwaa uaakofu huko sio?