Tetesi: Wachungaji kumpigia Kura Mch. Dkt. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama kuwa Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu, Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.

Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa wamejikomboa kiimani na kimaisha.
 
Ili kuepuka migogoro, kanisa liache kuwahamasisha waumini kutoa sadaka, tutoe kwa moyo. Watoaji tuwe wachache mapato yapungue, migogoro iishe kabisa
Wachungaji watafute kazi zingine za kuwaingiziab kipato

Yesu alikuwa seremala

Petro na nduguye Andrea walikuwa wavuvi.

Matayo alikuwa tax officer.
 
Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu , Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.

Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa wamejikomboa kiimani na kimaisha.
Hivi hii ni tetesi au mtazamo wako..!!?? Maana naona heading ni tetesi lakini content ni mtazamo wako.
 
Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu , Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.

Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa wamejikomboa kiimani na kimaisha.
Akili mbovu kabisa za kimihemko
 
Hamna kitu kama hicho. Hawezi kupata hata nusu ya kula. hamnaga askofu aliyechangamka kama mlokole vile.
 
Back
Top Bottom