Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
kaathirika huyo kisaikolojiaUkiwa tajiri umeshakuwa tapeli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaathirika huyo kisaikolojiaUkiwa tajiri umeshakuwa tapeli?
hii lusekelo kaifaidi sanaHalleluyah !
Tuma sadaka yako kupitia ..........
hahahahaha hizo ni taasisi za ukwepaji Kodi mkuu,wanalipa kodi?
Kuna pia Mercy Mercy me, huyo jamaa alikuwa na nyimbo nzuri sana!!hahahahaha hizo ni taasisi za ukwepaji Kodi mkuu,
Anyway mkuu hiyo Avatar Yako ya Marvin Gaye nimeikubali na wewe ni shabiki kindaki ndaki wa nyimbo zake kama Mimi?
Inner city blues
What going on
Sexual healing
Let's get it on
Little darling
NK nazikubali Sana na Kila siku lazima niplay Kwa Saabufa mojawapo!
😁😁😁😁🔥🔥
Hapa nimegundua tajiri namba moja ni mwakasege kwasababu yeye ni mwalimu anawafundisha umati wa watu uchumi halafu wanarudi makanisani kwao . yeye hajamiliki kanisa kwahiyo hajikusanyii sadaka za watu. Hawa wengine wote ni chumba ulete makanisa na sadaka zote ni Mali yao ndio maana wafuasi wao wengi wansfilisika kwa kuuza Mali zao na kuwwapelekea wao1. Josephat mwingira
Utajiri wake unakadiriwa kufikia ts 20 bilions
Anamiliki
Mashamba zaidi ya hekari 20000 huko katavi
Kiwanda cha maji kibaha
Mashule
Na bank
Nyumba yake inakadiriwa kuwa na thamani ya tsh 2.5bilion
2.geo darvie
Anamiliki magari ya kifahari
Nyumba ya thamani ya 1.8 bilion
Anamashamba makubwa na vitalu vya uwindaji arusha utajiri wake unakadiriwa kufika 15bilion
3.askofu Kakobe
Anapesa nyingi alizoziweka kwenye akaunti zake nje ya nchi
Anajumba la kifahari zaidi ya 4bilion anamagari ya kisasa na ardhi ya kutosha tu huko kwao
Anakadiriwa kuwa na utajiriwa 10bilion
4. Dr vernon fernandes
Huyu inakadiriwa kuwa na utajiri
Wa bilion 8 pamoja nakumiliki magari na kampuni yake ya decoda
5. Athony lusekelo
Utajiri wa bilion 6
6.josephat gwajima
Utajiri wa bilion 5.7
7.boniface mwamposya
Utajiriwa bilion 5
8 sylvester gamanywa
Utajiri wa bilion 5
9. Mtume mtalemwa
Bilion 3
10. Mchungaji Mwakasege
Utajiri wa bilioni 2.7
Source gazeti la sanifu
UtachoraNi GeorDavie na sio geo dervie
Hatari sana mkuu,alikua anaweza Sana!Kuna pia Mercy Mercy me, huyo jamaa alikuwa na nyimbo nzuri sana!!
Upcoming milionea pastor.Masanjaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Usipo kubali kuliwa kidogo huli..unataka hao wachungaji wakale wapi..halafu unawaonea huruma hao waumini..kunasiku walikuja kwako kuomba msaada wa chakula au malazi..kisa hela zao zimeishia kwa manabii.Hapa nimegundua tajiri namba moja ni mwakasege kwasababu yeye ni mwalimu anawafundisha umati wa watu uchumi halafu wanarudi makanisani kwao . yeye hajamiliki kanisa kwahiyo hajikusanyii sadaka za watu. Hawa wengine wote ni chumba ulete makanisa na sadaka zote ni Mali yao ndio maana wafuasi wao wengi wansfilisika kwa kuuza Mali zao na kuwwapelekea wao
Wivu tu..wanawazui vipi wakati wanawahubiria habari njema.Quran 9:34
Enyi mlio amini! Hakika wengi katika makuhani na wamonaki wanakula mali za watu kwa baat'ili na wanazuilia Njia ya Mwenyezi Mungu. Na wanao kusanya dhahabu na fedha, wala hawazitumii katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wabashirie khabari ya adhabu iliyo chungu.