We popoma mlafi mla sadaka za maskini,wajane,vilema na yatima !!! Hivi unadhani Mungu hawajui ninyi ??
Mnawadanganya waumini sadaka wawape ninyi mbwa badala ya kuwaambia wakawape yatima,masikini, wasafiri wenye shida,wakimbizi na wajane . Mna mikono na miguu ya kufanya kazi na bado kutokana na ulafi wenu mnaendelea kula sadaka na wala sadaka hizo hamuwapelekei wahitaji .Mnajilimbikizia mali ili muwe matajiri na mnawaacha wanyonge wakitangatanga.
Nawashauri ikiwa mtu unataka kubarikiwa na Mungu hapa duniani regardless wewe ni dini gani au hauna dini basi sadaka zako hakikisha unaenda kuwasaidia masikini, mayatima, walioharibikiwa na safari, wagonjwa,wakimbizi, wajane na wahitaji wengine ila usiende kuwapa hao mbwa wanaobweka madhabahuni, wanaojilimbikizia mali,walafi....!!
Ww mtu unamiliki zaidi ya Bilioni na ushee na bado unaendelea kufakamia sadaka za masikini!! Mungu gani anaekubali huo udhalimu?