jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Hizo nguvu za ushirikina wanazotumia..tukikuomba utoe ushahidi utatoa au unaropoka tu.Hivi hizo nguvu za giza wanazotumia kanisani hao manabii na mitume wa uongo hazina madhara kwao kwa baadae?
Hawawezi kufilisika baada ya kuacha hizo huduma kanisani?
Kila mtu ni mjinga..hata wewe una kaujinga kako wajanja wanakupelekesha...absurdInasikitisha Watanzania wajinga bado wapo wengi.
Hapa hakuna utafiti wowote ni makisio tu yakiongozwa na utashi wa Mleta uzi.Ninaishi jirani na kakobe, hana nyumba yenye thamani ya bil 4, kwa uzoefu wangu haifiki 150M.
Usifanye mchezo na bil 4 kwa nyumba ya kuishi
Yaani wewe ni mwongo Josephat gwajima umemuweka mara mbili1. Josephat mwingira
Utajiri wake unakadiriwa kufikia ts 20 bilions
Anamiliki
Mashamba zaidi ya hekari 20000 huko katavi
Kiwanda cha maji kibaha
Mashule
Na bank
Nyumba yake inakadiriwa kuwa na thamani ya tsh 2.5bilion
2.geo darvie
Anamiliki magari ya kifahari
Nyumba ya thamani ya 1.8 bilion
Anamashamba makubwa na vitalu vya uwindaji arusha utajiri wake unakadiriwa kufika 15bilion
3.askofu Kakobe
Anapesa nyingi alizoziweka kwenye akaunti zake nje ya nchi
Anajumba la kifahari zaidi ya 4bilion anamagari ya kisasa na ardhi ya kutosha tu huko kwao
Anakadiriwa kuwa na utajiriwa 10bilion
4. Dr vernon fernandes
Huyu inakadiriwa kuwa na utajiri
Wa bilion 8 pamoja nakumiliki magari na kampuni yake ya decoda
5. Athony lusekelo
Utajiri wa bilion 6
6.josephat gwajima
Utajiri wa bilion 5.7
7.boniface mwamposya
Utajiriwa bilion 5
8 sylvester gamanywa
Utajiri wa bilion 5
9. Mtume mtalemwa
Bilion 3
10. Mchungaji Mwakasege
Utajiri wa bilioni 2.7
Source gazeti la sanifu
We popoma mlafi mla sadaka za maskini,wajane,vilema na yatima !!! Hivi unadhani Mungu hawajui ninyi ??Wivu tu..wanawazui vipi wakati wanawahubiria habari njema.
#MaendeleoHayanaChama
Mwenye akili azingatie ushauri wako huu .We popoma mlafi mla sadaka za maskini,wajane,vilema na yatima !!! Hivi unadhani Mungu hawajui ninyi ??
Mnawadanganya waumini sadaka wawape ninyi mbwa badala ya kuwaambia wakawape yatima,masikini, wasafiri wenye shida,wakimbizi na wajane . Mna mikono na miguu ya kufanya kazi na bado kutokana na ulafi wenu mnaendelea kula sadaka na wala sadaka hizo hamuwapelekei wahitaji .Mnajilimbikizia mali ili muwe matajiri na mnawaacha wanyonge wakitangatanga.
Nawashauri ikiwa mtu unataka kubarikiwa na Mungu hapa duniani regardless wewe ni dini gani au hauna dini basi sadaka zako hakikisha unaenda kuwasaidia masikini, mayatima, walioharibikiwa na safari, wagonjwa,wakimbizi, wajane na wahitaji wengine ila usiende kuwapa hao mbwa wanaobweka madhabahuni, wanaojilimbikizia mali,walafi....!!
Ww mtu unamiliki zaidi ya Bilioni na ushee na bado unaendelea kufakamia sadaka za masikini!! Mungu gani anaekubali huo udhalimu?
Yaani hao waumini wao jinsi walivyotekwa akili!! Yaani mtu anatoka chanika ndani ndani huko gari la kugombania mpk Kawe...ana ki elfu kumi chake mfukoni anaenda kumpelekea mwamposa anaetoka na msafara wa V8 kutoka masak akiwa na imani kuwa sadaka yake akimpa mwamposa ndio atabarikiwa.Mwenye akili azingatie ushauri wako huu .
Inasikitisha sana , tatizo wenye akili wachache nafurahi kuona watu wanaanza kuzinduka kutoka kwenye ujinga.Yaani hao waumini wao jinsi walivyotekwa akili!! Yaani mtu anatoka chanika ndani ndani huko gari la kugombania mpk Kawe...ana ki elfu kumi chake mfukoni anaenda kumpelekea mwamposa anaetoka na msafara wa V8 kutoka masak akiwa na imani kuwa sadaka yake akimpa mwamposa ndio atabarikiwa.
Anasahau kuwa hapo alipotoka gmboto kuna vituo kibao vya watoto yatima, kuna wagonjwa wasiojiweza mahospitalini, kuna wajane wasio na kitu n.k ila hawakumbuki hao ila akili yake ni kuwa kila wiki akampe elfu kumi tajiri mwamposa.
Wajinga ndio waliwao.
Kuzinduka ni ngumu sana maana ujinga huu haukuanza leo.Inasikitisha sana , tatizo wenye akili wachache nafurahi kuona watu wanaanza kuzinduka kutoka kwenye ujinga.
Lile sebene ila ni content yw mule imekaa kidiniHuyo nabii mtalemwa kuna clip niliona anairudi ile sebene ya kikongo inaitwa muzina.
Muzinaaaa
kind of...Ukiwa tajiri umeshakuwa tapeli?
Wewe kondoo zako nyasi..mchungaji anakula kondo kamwe hali nyasi..huo wivu tu..sadaka ni agizo la Mungu..la kutoa zaka na sadaka ili huduma ya injili ienee duniani kote..iwafikie hata wenye mapepo kama wewe upate kuponywa na kuokolewa kutoka kwenye mikono ya shetani.We popoma mlafi mla sadaka za maskini,wajane,vilema na yatima !!! Hivi unadhani Mungu hawajui ninyi ??
Mnawadanganya waumini sadaka wawape ninyi mbwa badala ya kuwaambia wakawape yatima,masikini, wasafiri wenye shida,wakimbizi na wajane . Mna mikono na miguu ya kufanya kazi na bado kutokana na ulafi wenu mnaendelea kula sadaka na wala sadaka hizo hamuwapelekei wahitaji .Mnajilimbikizia mali ili muwe matajiri na mnawaacha wanyonge wakitangatanga.
Nawashauri ikiwa mtu unataka kubarikiwa na Mungu hapa duniani regardless wewe ni dini gani au hauna dini basi sadaka zako hakikisha unaenda kuwasaidia masikini, mayatima, walioharibikiwa na safari, wagonjwa,wakimbizi, wajane na wahitaji wengine ila usiende kuwapa hao mbwa wanaobweka madhabahuni, wanaojilimbikizia mali,walafi....!!
Ww mtu unamiliki zaidi ya Bilioni na ushee na bado unaendelea kufakamia sadaka za masikini!! Mungu gani anaekubali huo udhalimu?
Sadaka ni imani..mtu anapotoa sadaka kanisani lengo ni imani na injili isonge mbele..bila hela huwezi sambaza injili ya bwana wetu Yesu kristo.Yaani hao waumini wao jinsi walivyotekwa akili!! Yaani mtu anatoka chanika ndani ndani huko gari la kugombania mpk Kawe...ana ki elfu kumi chake mfukoni anaenda kumpelekea mwamposa anaetoka na msafara wa V8 kutoka masak akiwa na imani kuwa sadaka yake akimpa mwamposa ndio atabarikiwa.
Anasahau kuwa hapo alipotoka gmboto kuna vituo kibao vya watoto yatima, kuna wagonjwa wasiojiweza mahospitalini, kuna wajane wasio na kitu n.k ila hawakumbuki hao ila akili yake ni kuwa kila wiki akampe elfu kumi tajiri mwamposa.
Wajinga ndio waliwao.
hahaha ngoja nianzishe languhii lusekelo kaifaidi sana