Naamini hamjaulewa huo sexual healing,hahahahaha hizo ni taasisi za ukwepaji Kodi mkuu,
Anyway mkuu hiyo Avatar Yako ya Marvin Gaye nimeikubali na wewe ni shabiki kindaki ndaki wa nyimbo zake kama Mimi?
Inner city blues
What going on
Sexual healing
Let's get it on
Little darling
NK nazikubali Sana na Kila siku lazima niplay Kwa Saabufa mojawapo!
πππππ₯π₯
Halafu sehemu yenyewe bongo.Ninaishi jirani na kakobe, hana nyumba yenye thamani ya bil 4, kwa uzoefu wangu haifiki 150M.
Usifanye mchezo na bil 4 kwa nyumba ya kuishi
1. Josephat mwingira
Utajiri wake unakadiriwa kufikia ts 20 bilions
Anamiliki
Mashamba zaidi ya hekari 20000 huko katavi
Kiwanda cha maji kibaha
Mashule
Na bank
Nyumba yake inakadiriwa kuwa na thamani ya tsh 2.5bilion
2.geo darvie
Anamiliki magari ya kifahari
Nyumba ya thamani ya 1.8 bilion
Anamashamba makubwa na vitalu vya uwindaji arusha utajiri wake unakadiriwa kufika 15bilion
3.askofu Kakobe
Anapesa nyingi alizoziweka kwenye akaunti zake nje ya nchi
Anajumba la kifahari zaidi ya 4bilion anamagari ya kisasa na ardhi ya kutosha tu huko kwao
Anakadiriwa kuwa na utajiriwa 10bilion
4. Dr vernon fernandes
Huyu inakadiriwa kuwa na utajiri
Wa bilion 8 pamoja nakumiliki magari na kampuni yake ya decoda
5. Athony lusekelo
Utajiri wa bilion 6
6.josephat gwajima
Utajiri wa bilion 5.7
7.boniface mwamposya
Utajiriwa bilion 5
8 sylvester gamanywa
Utajiri wa bilion 5
9. Mtume mtalemwa
Bilion 3
10. Mchungaji Mwakasege
Utajiri wa bilioni 2.7
Source gazeti la sanifu
Hiyo Muzina ni nyimbo ya DiniHuyo nabii mtalemwa kuna clip niliona anairudi ile sebene ya kikongo inaitwa muzina.
Muzinaaaa
Kama hajikusanyii sadaka, na vile VIFUKO vinavyotembezwa na watumishi wake kwenye SEMINA anazofanya huwa zinawekwa nini?Hapa nimegundua tajiri namba moja ni mwakasege kwasababu yeye ni mwalimu anawafundisha umati wa watu uchumi halafu wanarudi makanisani kwao . yeye hajamiliki kanisa kwahiyo hajikusanyii sadaka za watu. Hawa wengine wote ni chumba ulete makanisa na sadaka zote ni Mali yao ndio maana wafuasi wao wengi wansfilisika kwa kuuza Mali zao na kuwwapelekea wao