Wachungaji mnaosema tukiwapa sadaka tutabarikiwa kuwa wateja wa kwenye ma Mall, mnajiona mko sawa?

Kanisani natoa sadaka tu. Misaada mingine napeleka kwa wajane, wagonjwa, watoto na wengine wenye mahitaji.
Kanisani wataambulia sadaka yangu tu tena niliyoipanga mwenyewe.
Hatareee sana hii kitu
 
Where is your proofs that show the election was rigged, Mr TRUMP!???
 
Kama wewe kanisa toka January mpaka desemba hakuna hata miujiza Watu wanaingia ibadani wamevaa iridhi na hakuna kinachotokea tafasiri take hapo hakuna uwepo wa nguvu za kiroho zinazompi va shetani .Kanisa balokemei Mapepo wewe bado unatetea tu .Kama yesu alikemea Mapepo ,viwete wakatembea,vipofu wakaona na viziwi wakasikia na akatoa Watu Mapepo Sasa unahubiri habari gani hapa Kama miujiza haitendeki .Kinachofuatwa kwenye Nyumba za Ibada ni Roho Mtakatifu abariki roho za waumini sasa wasisumbuliwe na Mapepo Sasa Watu wamejaa kanisani bado ni Wachawi hatari unafiri Hilo linatoa Impact gani kwenye hiyo jamii.Pia nakukumbusha kila aina ya eneo la kuabudia panahitaji sadaka.
 


Ni zaidi ya kutoa mapepo!

Mafundisho ndiyo msingi Mkuu wa Mwamini !
Ufahamu!

Imeandikwa: “utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake yote mengine mtazidishiwa!

Mtu mwenye ufahamu wa Neno na kuliishi pepo hamkaribii.

Wafundisheni watu Neno la Uzima, ili wajitegemee na siyo Habari ya kutoana mapepo tu kuanzia Januari hadi December kila Mwaka ni yale yale ya watu kuangushwa chali [emoji108][emoji108]

Nimekupa matatizo ule wa agizo kuu umeusoma wa Mathayo 28:19?
 
Hilo neno limeandikwa na binadamu kama wewe, mengine hayana hata logic
 
Kuna siku tulikua kanisani, unajua mahibiri ya walokole ni mpaka mchungaji achoke kuongea. Imefika saa saba mahubiri yanaendelea na mke wa mchungaji anakunywa Coca-Cola kupoza koo.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Namba mbili hiyo maybe ilikuwa shetani kuaminisha Mungu ni mbaya, kwamba anaua na kulinda mayai. Kitu ambacho sio kweli, binafsi najua Mungu haui na pia huwapa neema hata wale waovu. Hivyo kusema Mungu kalinda mayai huku akiacha raia wakafa ni kujustify Mungu ni muuaji kitu ambacho sio sahihi.
 
Mkuu itoshe kusema tu wewe hujabarikiwa kuwa na moyo wa kutoa.

Ungekuwa nao wala hata usingekuwa unapata tabu ya kujiuliza maswali yote haya.

Huo sio wito wako.

Utakuwa wa madhababuhi wewe!!

Si kwa kutetea huko.

Hao walawi vya madhabahuni walikuwa wanakula yaani ni kwaajili ya kuishi tu ila hawa wasasa wanafanya starehe, magari ya gharama, maisha ya kifahari huku waumini wao wakikosa chakula ama hata matibabu na wameshindwa kuwasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…