Hizi zote ni general statements zenye msingi wake katika imani...lakini sio facts.
1. Huwez kuniambia kuwa wakrsto wanaoamni yesu ni mungu na waislam wanaoaminj yesu ni nabii tu....kwamba katika mazingira haya mungu hakuwa na wajibu wa kuweka sawa position yake.
2. Kisa cha mayai hakika upekee wowote. Sunami ilipopiga thiland mwaka wa 2003/4 ulivunja majengo mengi....lakin kuna misikiti ilibakia salama....je hapa mungu aliingilka kati au lah....na kama ndio...ni mungu yupi....mungu yesu au mungu baba au mungu ng'ombe wa wahindu......by the way kwann mungu aliumba dunia ikiwa na visanga vya kiasili kama sunami?
3. Iman ni kuamini mambo bila ushahidi halisi au dhidi ya ushahidi halisi....kwahyo basi kila mtu anayo haki ya kuamini atakavyo...ili mradi asilazimishe hyo iman kwamba ni facts. No way.!
4. Uwepo au kutokuwapo kwa Mungu ni swala pana.....lakin wengi wanaogopa sana kulijadili kwa sababu tayari wanahofu ya kukufuru. But you know what.....mungu anawajibu wa kuweka mambo sawa....very clear.....sio kwa kutegemea wanathiolojia au wanafalsafa wafafanue mambo yake.
1. Almost all people, Waislamu included, wanaamini fika kwamba alikuwepo hapa duniani Nabii historically kwa jina la Yesu bin Mariam Mnazareti. That in itself should send mind-opening shock waves kwa mtu yeyote anayefikiria kwa umakini. Just in itself hii evidence of testimony inatosha kuleta valid conviction.
2. Kisa cha mayai! Please, explain to me nini kiliyaprotect lisivunjike even one, given gari lote lilikuwa nyang'nyang'a, trei la mayai limeshift position yake ya awali very significantly. Take time to think through it, don't just crush over. Kuhusu Tsunami, na matukio mengine mengi tu ambayo ni superhuman, those are additional evidences in support of the fact that God exists and He is in control.
3. Your definition of ^imani,^ I am afraid, is very rudimentary & superficial. Faith is clearly based on evidence. We don't simply believe in nothing; we believe in substance. Jesus told incredulous Thomas: ^Touch and feel My body!^
4. God is never interested in blind faith, but rather active, reasonable faith. He wants us to come close to Him and reason together with Him. A classic example for this is when He confronted Adam in the Garden. They kept talking and exchanged views; and it did not happen just once or twice or three times. It was regular & habitual.
5. God wants us to investigate the evidences for our beliefs, otherwise it would have been literally unthinkable and even pointless for Him to deliver the Scriptures to us. If you read the Scriptures with open-mindedness & under His divine guidance, you cannot but affirm how much He has sufficiently answered all life's troubling questions and mysteries.