Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Vya madhabahuni viliwe na wamadhabahuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ambaye Hajakubali uwepo wa Mungu , tatizo linakuja kila mtu anafikri msimamo wake ni sahihi eg wasabato na madhebu mengine ya kikristo, Wakatoliki na mashahidi wa Jehova , Islam na ukristo etc , katika utofaut huo why Mungu haweki mambo clear ?? At the same time anasema yeye ni mmoja na Imani moja lakn hali ilivyo totaly different Imani tofauti tofaut .... Nataka kujua ndo mana nauliza , kisa cha mayai kutoharibika bado ni 50/50 inaweza kuwa totally God's intervention or not , kipind Yesu yupo duniani kuna watu waliangukiwa na ukuta watu wakafikr ni adhabu ya Mungu lakn Yesu akaweka mambo Sawa kuwa is just normal circumstances na yeyte Yule laweza mpata madam tupo Duniani , mabaya yanapowatokea watu tusiwe wepesi wa kuhukumu et Kwa sababu ya maovu Yao ndo yamewapata , hata wewe waweza kuwa unakesha unaomba na bado Kesho ukatoka nje ukapigwa na radi , tuseme ni adhabu ya Mungu??1. Hakuna kitu chenye utata kuhusu Mungu
2. Uwepo wa dini mbalimbali is never counter-argument dhidi ya existence ya Mungu, bali ni proof of His existence
3. Mungu hayuko kimya. As a matter of fact, He communicate with us every moment, variously.
4. If you want to know, you will know.
5. Kisa hicho kilichoelezewa ni very unique and has not human explanation, unless kama hujawahi kukisikia.
Sasa mbona unawakataza mamantile na wauza-magenge kama unalijua hilo!???Yule masikini aliyetoa centi mbili Yesu alisema alitoa kuliko wote. Unatoa ulicho nacho na kiheshimiwe. Usiheshimu waliotoa vikubwa.
Hiyo research hata hujaanza, tayari ushatoka na conclusion!??? Kupingana kwa dini ama imani hakuondoi ukweli. Ukweli uko palepale. Soma vitabu mbalimbali vya kidini, linganisha mambo, chunguza, utapata jibu mwenyewe ukitaka Mungu akujulishe. Usiwaangalie wanadamu sana kiasi ambacho unaweza kupoteza mtazamo mzuri wa Mungu. Focus kwa Mungu na wala hutajuta.Hakuna ambaye Hajakubali uwepo wa Mungu , tatizo linakuja kila mtu anafikri msimamo wake ni sahihi eg wasabato na madhebu mengine ya kikristo, Wakatoliki na mashahidi wa Jehova , Islam na ukristo etc , katika utofaut huo why Mungu haweki mambo clear ?? At the same time anasema yeye ni mmoja na Imani moja lakn hali ilivyo totaly different Imani tofauti tofaut .... Nataka kujua ndo mana nauliza , kisa cha mayai kutoharibika bado ni 50/50 inaweza kuwa totally God's intervention or not , kipind Yesu yupo duniani kuna watu waliangukiwa na ukuta watu wakafikr ni adhabu ya Mungu lakn Yesu akaweka mambo Sawa kuwa is just normal circumstances na yeyte Yule laweza mpata madam tupo Duniani , mabaya yanapowatokea watu tusiwe wepesi wa kuhukumu et Kwa sababu ya maovu Yao ndo yamewapata , hata wewe waweza kuwa unakesha unaomba na bado Kesho ukatoka nje ukapigwa na radi , tuseme ni adhabu ya Mungu??
Sometyme nashawishika Kuwa 75% dini ya mfumo wa madhehebu ni miradi ya watu lakn Mungu anatenda kazi kwenye mioyo ya watu ila mifumo ya kidini na taratibu zake ni usanii mtupu still npo kwenye research
Ukitoa unabarikiwa tuuuMkuu Mimi sipingi kabisa utaratibu wa kutoa sadaka maana najua Ni mfumo ambao umebeba lugha ambayo Mungu pekee anaweza kuielewa lakini kile tunachohubiriwa kwamba tutoe ili tubarikiwe huwa naona si Sahihi baraka za Mungu kwetu hazitokani na sadaka tunazotoa
Ayubu 41:11 inaonyesha na kuonya juu ya mfumo wa kutoa kwa kutegemea kupokea kingi kuwa si mfumo wa Mungu Ni biashara ambayo mtu afanyaye hivyo hajui kuwa Kila alichonacho kinatoka kwa Mungu.
Usimlinganishe nchi na shehekKwani Masheikh wanaishije? tusijustify wizi...sadaka atoe mtu kama anacho tu...siyo kulaghai waumini...na kuwatisha kwa vifungu vya bible,huu ni utapeli.
Mpendwa kwenye msafara wa mamba na kenge wamo, sababu ya hao wachache haiwezi haribu kila kitu , hata kipindi cha YESU mbeba mkoba wa pesa au KIJUMBE jina la huku bongo alikuwa mwizi,. lakini YESU hakumfukuzaTatizo ni kutumia sadaka kutoka kwa watu masikini kwenye mambo ya kifahari kama kumiliki magari mengi ya kifahari , na aina mbalimbali za anasa wakati angeweza kuwa na gari moja au mawili na likatosha ktk kazi zake za uchungangaji. Hela nyingine zingetumika kusaidia jamii kama kufungua hospitals, vituo Vya kulelea yatima nk.
Mungu ndiye anazitatua , hayo ya kwao mie simo kama wanakula wake za watu niwao, YESU alisema kila pando asilolipanda litang'olewa, halafu uzuri hawakufusti nyumbani, watu wanawafuata wenyewe!Kwahiyo Shida zao ndio Mwingira(Mla wake za watu) ,Gwajima(Mcheza pono),Lusekelo (Mlevi wa Konyagi) ,Mwamposa(Tapeli ) ndio watazitatua?
Ndiyo maana nasema kwasababu hawalazimishi wewe kaaa nyumbani na familia yako basi maana hakuna aliyemuoma Mungu au ukampelekea Mungu akazipokea mwenyewe, {IMANI no nini?}Unajua maana ya sadaka? Yaani nitoe sadaka nimpe gwajima akanunue Hummer na helicopter? Nitoe sadaka nimpe lusekelo akanunua VX V8?
Hivi mfano Mwamposa akienda shamba kulima au afungue.genge atauza saangapi na ibada ataifanya saangapi,,!Halafu hili fungu la kumi kwa nini linasisitizwa sana wakati ilikuwa nadhiri ya Yakobo na Mungu wake? Halafu ukifuatilia nyaraka za Mtume Paulo utagundua alikuwa anafanya kazi ili asiwaelemee waumini wake.
Ndiyo maana nasema kwasababu hawalazimishi wewe kaaa nyumbani na familia yako basi maana hakuna aliyemuoma Mungu au ukampelekea Mungu akazipokea mwenyewe, {IMANI no nini?}
1. Hakuna kitu chenye utata kuhusu Mungu
2. Uwepo wa dini mbalimbali is never a counter-argument dhidi ya existence ya Mungu, bali ni proof of His very existence
3. Mungu hayuko kimya. As a matter of fact, He communicates with us every moment, variously.
4. If you want to know, you will know.
5. Kisa hicho kilichoelezewa ni very unique and has no human explanation, unless kama hujawahi kukisikia.
Ila ukiambiwa na mganga apake uume wake dawa halafu akuingizie na utoe laki tano ndiyo unaamini Ila ukiambiwa na Mchungaji toa sadaka ili kanisa nitanue huduma na utabarikiwa unapiga mayoe. Enyi kizazi kisicho na Imani na kilichopotoka kwanini huwazi kwa upana.Hao wachungaji wengi ni wapigaji, ebu chukulia watu kama Kina Gwajima wanacheza hadi porno, angalia mwingira anazaa hadi na wake za watu, angalia Lusekelo anapiga hadi NYAGI na kutukana majirani, Mwamposa anawauzia watu maji kwa bei ya juu yaani ulanguzi na wizi, sasa wachungaji matapeli kama hao ndio wataongea mambo ya maana?
Ukweli mchungu ,binaadamu jeuri akiwa mzima .Siku moja haikai mbili haikai anaenda kuponea kwa kina Mwamposa .Nani apendi kuishi ,maisha nmeya judge Sana .Lakini Kuna usemi "you never know".kila mtu aangalie panapo mfaaAjabu sana! Wakiwa na afya wanajisahaulisha kwamba Mungu hayupo, zikianza kuvuma tufani wanakimbilia madhabahuni! Sisi binadamu ni viumbe vya ajabu sana kuwahi kutokea katika Sayari hii. Mungu atusamehe tu kwakweli.
Ila ukiambiwa na mganga apake uume wake dawa halafu akuingizie na utoe laki tano ndiyo unaamini Ila ukiambiwa na Mchungaji toa sadaka ili kanisa nitanue huduma na utabarikiwa unapiga mayoe. Enyi kizazi kisicho na Imani na kilichopotoka kwanini huwazi kwa upana.
Mungu gani huyo unamuamini ambaye hatendi miujiza ?.Mungu tunayefundishwa siku zote amekuwa akitenda miujiza hata Kama siyo kwako basi kwa jirani yako Sasa unahudguria toka January Hadi desemba hakuna jipya Sasa hapo inakwenda kufanya nini maana pamezidiwa Hadi na waganga wa kienyeji. Nakufundidha kila mahali pakuabudia panataka sadaka ili kuendesha maisha ya watumishi na kutanua huduma .Nakukumbusha kuwa matangazo ya TV nayo ni pesa ndiyo maana umewajua hao Wachungaji Sasa wewe unaangalia migogoro ya kanisa Jana kwamba Kuna makanisa na misikiti haina migogoro nakujulisha kuwa kila sehemu ya kufanyiwa ibada migogoro ya kimaslai pia ipo ndiyo maana Kuna mpaka walinzi kwenye mageti.Nakukumbusha migogoro kwenye Nyumba za Ibada hatakuja kukoma maana wenye uchu wa madaraka kwa sehemu ambazo hawana sifa wapo wengi Sana ikiwemo wewe.Nakukumbusha kuwa kila kwenye Mungu Kuna miujiza Kama kanisa lako unalosali hakuna miujiza hama maana siyo maeneo yaliyobarikiwa.Mimi siamini ushirikina wala manabii wako feki ,mimi naamini Mungu wa yakobo,Mungu wa Isaka,Mungu wa Muumba mbingu na ardhi....Dini ya ukweli ni kusaidia yatima,wajane na wasiojiweza.
Tangu umchangie Gwajima au Mwamposa au Mwingira ametanua huduma gani? Maeneo yote anayonunua ni yake na si ya kanisa ,ukitaka kuamini angalia Kakobe mgogoro wake na wachungaji wenzake kuhusu FGBF.
Yani baraka utakayoipata hapa ni kubwa mno,nataman watu wengi walione hili.Sadaka ni kusaidia Masikini(wasiojiweza) , Wajane ,Yatima etc na sio kumpa Gwajima akanunue Hummer au Lusekelo akalewee!!