Wachungaji mnaosema tukiwapa sadaka tutabarikiwa kuwa wateja wa kwenye ma Mall, mnajiona mko sawa?

Swali: "Biblia inasemaje juu ya kutoa fungu la kumi?"

Jibu: Kutoa fungu la kumi ni jambo ambalo wakristo wengi hung’ang’ana nalo. Katika makanisa mengine kutoa fungu la kumi imesisitizwa kupita kiasi. Wakristo wengi pia hukataa kutii agizo la kutoa sadaka kwa Bwana. Kutoa fungu la kumi au sadaka inahitajika kuwa ni kitendo cha furaha na baraka. Lakini sivyo katika makanisa ya sasa.

Kutoa fungu la kumi ni agizo la agano la kale. Hili lilikuwa sharti la kila mwenye kupata zao au mfugo alete sehemu ya kumi ya pato hekaluni (mambo ya walawi 27:30; hesabu 18:26; kumbukumbu la torati 14;24; mambo ya nyakati ya pili 31:5). Wengine huchukulia ya kuwa fungu la kumi, katika agano la kale ilikuwa kama sehemu ya ushuru uliokuwa ukitolewa kwa ajili ya makuhani na walawi. Agano jipya haiamrishi wala kupendekeza mfumo halali wa kutolea fungu la kumi. Paulo asisitiza kuwa waumini watenge sehemu ya mapato yao kwa ajili ya kusimamia kanisa (wakorintho wa kwanza 16:1-2).

Agano jipya halielezi kiasi cha pato ambacho ni kitengwe kwa ajili ya kusimamia kanisa. (wakorintho wa kwanza 16:2). Kanisa la kikristo leo limechukua kile kiwango cha fungu la kumi kutoka kwa agano la kale na kukisisitiza kuwa ndicho kiwango cha chini cha mkristo kutoa. ijapokuwa agano jipya haitoi kiwango cha kutoa, inaelezea umuhimu na manufaa ya kutoa. Ni watoe sawa na uwezo wao “ kulengana na pato lake.” Wakati mwingine ina maana ya kutoa zaidi ya fungu la kumi, na mara nyingine kichache kuliko fungu la kumi. Yote hutegemea uwezo wa mkristo mwenyewe na mahitaji ya kanisa. Kila mkristo sharti aombe na kutafuta hekima kutoka kwa Mungu juu ya swala hili (Yakobo 1:5). “ kila mtu niatoe kile alicho azimia kutoa kutoka ndani ya moyo wake, si kwa manung’uniko wala kulazimishwa, kwa kuwa Mungu hupenda kwenye kutoa kwa moyo mkunjufu” (wakorintho wa pili 9:7).
 
Mimi sipingani nakutoa sadaka ila napingana na kupangiwa kiwango cha sadaka kwenye baadhi ya miradi kuwa kila muumini atoe kiasi flani na inakua ni deni. Pia kama haujaja kanisani mda mrefu na hutoi sadaka ukiwa na shida hakuna kuombewa wala kupata huduma ya kiibada.

Miradi ya kanisa inapokufa kwasababu kuna watu wanepiga pesa waumini ndo wanatakiwa kulipa ( corridor spring hotel arusha).
Pia sadaka haina tatizo ikitumika kueneza neno la Mungu kwa kununua vifaa , kujenga nyumba za ibada na kulipa watumishi.

Ila sadaka nyakati hizi ibatumika kufungua miradi ya kibiashara ambapo kwenye miradi hiyo starehe nyingine hufanyika eg hoteli.

Hamna mtu atajua ni faida kiasi gani inetengenezwa na mradi wa kanisa ( shule, hospital, hotel) ila hasara ikitokea mtalipa.
 
Mimi sipingani nakutoa sadaka ila napingana na kupangiwa kiwango cha sadaka kwenye baadhi ya miradi kuwa kila kuamini watoe kiasi flani na inakua ni deni. Pia kama haujaja kanisani MDA mrefu na hutoi sadaka ukiwa na shida hakuna kuombewa wala kupata huduma ya kiibada.

Miradi ya kanisa inapokufa kwasababu kuna watu wanepiga pesa waumini ndo wanatakiwa kulipa ( corridor spring hotel arusha).
Pia sadaka haina tatizo ikitumika kueneza neno la Mungu kwa kununua vifaa , kujenga nyumba za ibada na kulipa watumishi.

Ila sadaka nyakati hizi ibatumika kufungua miradi ya kibiashara ambapo kwenye miradi hiyo starehe nyingine hufanyika eg hoteli.

Hamna mtu atajua ni faida kiasi gani inetengenezwa na mradi wa kanisa ( shule, hospital, hotel) ila hasara ikitokea mtalipa.
Afadhali hata mchungaji arudishe kwenye jamii, asomeshe yatima au kulipia matibabu ya wasio was uwezo. Gariwni kwaajili ya kueneza injili basi iwe ya kawaida si Rolls-Royce.
 
Baba wa rafiki yangu alikua mzito serikalini, baada ya mzee kustaafu alianza u karibu na mchungaji. Kwakua sasa haendi kazini, basi asubuhi mchungaji anampitia wanakwenda kuona wagonjwa, kuandaa mikutano kanisani, mara anapiga simu nyumbani atakula kwa mchungaji.

Walichogundua baadae ni kuwa 10% ya pension ya dingi mchungaji aliiramba. Wakati mzee hajamalizia nyumba na ana magonjwa kibao yanahitaji pesa kutibiwa.
Ukienda kwenye Ibada usiache akili getini ingia nayo! vinginevyo wafwa

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Hao wachungaji wengi ni wapigaji, ebu chukulia watu kama Kina Gwajima wanacheza hadi porno, angalia mwingira anazaa hadi na wake za watu, angalia Lusekelo anapiga hadi NYAGI na kutukana majirani, Mwamposa anawauzia watu maji kwa bei ya juu yaani ulanguzi na wizi, sasa wachungaji matapeli kama hao ndio wataongea mambo ya maana?
Kwani gwajima ni mchungaji?
 
Swali: "Biblia inasemaje juu ya kutoa fungu la kumi?"

Jibu: Kutoa fungu la kumi ni jambo ambalo wakristo wengi hung’ang’ana nalo. Katika makanisa mengine kutoa fungu la kumi imesisitizwa kupita kiasi. Wakristo wengi pia hukataa kutii agizo la kutoa sadaka kwa Bwana. Kutoa fungu la kumi au sadaka inahitajika kuwa ni kitendo cha furaha na baraka. Lakini sivyo katika makanisa ya sasa.

Kutoa fungu la kumi ni agizo la agano la kale. Hili lilikuwa sharti la kila mwenye kupata zao au mfugo alete sehemu ya kumi ya pato hekaluni (mambo ya walawi 27:30; hesabu 18:26; kumbukumbu la torati 14;24; mambo ya nyakati ya pili 31:5). Wengine huchukulia ya kuwa fungu la kumi, katika agano la kale ilikuwa kama sehemu ya ushuru uliokuwa ukitolewa kwa ajili ya makuhani na walawi. Agano jipya haiamrishi wala kupendekeza mfumo halali wa kutolea fungu la kumi. Paulo asisitiza kuwa waumini watenge sehemu ya mapato yao kwa ajili ya kusimamia kanisa (wakorintho wa kwanza 16:1-2).

Agano jipya halielezi kiasi cha pato ambacho ni kitengwe kwa ajili ya kusimamia kanisa. (wakorintho wa kwanza 16:2). Kanisa la kikristo leo limechukua kile kiwango cha fungu la kumi kutoka kwa agano la kale na kukisisitiza kuwa ndicho kiwango cha chini cha mkristo kutoa. ijapokuwa agano jipya haitoi kiwango cha kutoa, inaelezea umuhimu na manufaa ya kutoa. Ni watoe sawa na uwezo wao “ kulengana na pato lake.” Wakati mwingine ina maana ya kutoa zaidi ya fungu la kumi, na mara nyingine kichache kuliko fungu la kumi. Yote hutegemea uwezo wa mkristo mwenyewe na mahitaji ya kanisa. Kila mkristo sharti aombe na kutafuta hekima kutoka kwa Mungu juu ya swala hili (Yakobo 1:5). “ kila mtu niatoe kile alicho azimia kutoa kutoka ndani ya moyo wake, si kwa manung’uniko wala kulazimishwa, kwa kuwa Mungu hupenda kwenye kutoa kwa moyo mkunjufu” (wakorintho wa pili 9:7).
Shukrani sana kwa hii umeandika

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kama we ni muumini wa kikristo biblia imecommand zaka Tu just 10% ya faida yako baada ya kuondoa expense , sadaka zingine ni uroho Tu wa wachungaj na tamaa .... Ukitoa 10 % Kwa Mungu upo free na mtu yyte askutishe .. tatizo kumekuwa na utitiri wa sadaka nyingi Sana makanisan mpka unajiuliza hapa kuna dini kweli au biashara Fulani
 
Mimi sipingani nakutoa sadaka ila napingana na kupangiwa kiwango cha sadaka kwenye baadhi ya miradi kuwa kila muumini atoe kiasi flani na inakua ni deni. Pia kama haujaja kanisani mda mrefu na hutoi sadaka ukiwa na shida hakuna kuombewa wala kupata huduma ya kiibada.

Miradi ya kanisa inapokufa kwasababu kuna watu wanepiga pesa waumini ndo wanatakiwa kulipa ( corridor spring hotel arusha).
Pia sadaka haina tatizo ikitumika kueneza neno la Mungu kwa kununua vifaa , kujenga nyumba za ibada na kulipa watumishi.

Ila sadaka nyakati hizi ibatumika kufungua miradi ya kibiashara ambapo kwenye miradi hiyo starehe nyingine hufanyika eg hoteli.

Hamna mtu atajua ni faida kiasi gani inetengenezwa na mradi wa kanisa ( shule, hospital, hotel) ila hasara ikitokea mtalipa.
Kwenye miradi hiyo wekeni auditors, internal & external. Problem solved. Acheni kanisa la Kristu liwande ulimwenguni.
 
ni kweli lakn takwimu zinaonyesha wanaohamia kwe uislamu ni wengi kuliko kinyume, unajua hata ukatoliki umepoteza watu wengi kwa walokole kwa sababu hii hii, watu wanapokuwa na maswali au hoja kuhusu masuala fulani basi wajibiwe hizo hoja zao waelewe kwan shida iko wapi? huu ni wakati wa wakatoliki lutheran na madhehebu mengine ya kikristu kujitokeza na kupambana kuirudisha dini kwenye utaratibu na ustaarabu, dini imevamiwa
Lete hizo takwimu hapa. Wacha maneno ya uchochezi utashtakiwa
 
Kama we ni muumini wa kikristo biblia imecommand zaka Tu just 10% ya faida yako baada ya kuondoa expense , sadaka zingine ni uroho Tu wa wachungaj na tamaa .... Ukitoa 10 % Kwa Mungu upo free na mtu yyte askutishe .. tatizo kumekuwa na utitiri wa sadaka nyingi Sana makanisan mpka unajiuliza hapa kuna dini kweli au biashara Fulani
Nenda Slowly, sawa!??? Kwa hiyo hata kwenye usharika ama kama kuna wahitaji hutoi kabisa tena!???? Poor judgment.
 
Na wewe ni mchungaj ? Kutoa Kwa wahtaji ni hiari na hyo inakuwa sadaka , but zaka ni command yaani ni lazima na usipoitoa we ni mwizi , na zaka haibadilishiwi matumizi, huwez kusema badala ya kutoa zaka bas nawapelekea yatima kama sadaka , hapo unajidanganya .... Mtu akishatoa zaka 10% yupo free mana hyo ni Kwa akili ya kuwasaidia wahusika kupeleka injili , sadaka ya majengo, sjui ya wahtaji , sjui gar ya mchungaj n.k hyo ni hiari syo lazima na mtu asitishwe atoe asitoe no dhambi
 
Back
Top Bottom