Wachungaji mnaosema tukiwapa sadaka tutabarikiwa kuwa wateja wa kwenye ma Mall, mnajiona mko sawa?

Hapo kwenye ^mimi hapo hayanihusu,^ sidhani kama ni sawa. You've responsibility ya kujenga integrity ya usharika wako.
 
Hao uliowataja wewe kwenye biblia sadaka zao walikuwa wanaenda kununulia Benz na Range rovers?na zingine walikuwa wanaenda kulipia lodge kulala na wake za watu?
Angalia context pia --- mazingira yanabadilika. Sidhani kama ni sahihi kupanda punda kama usafiri eti kwa vile tu alipanda Mwana wa Seremala.
 
Ninapoishi jirani kuna kikanisa kinachipukia. Sasa asubuhi hii kuna kina mama wamekuja nyumbani kununua kuku kwa ajili ya mch. Wananiambia halagi nyama nyekundu.

Typical cults.
Nadhani doctors na nutritionists wanashauri red meat [emoji491] is not good for health ndiyo maana wamama wanasaka kuku white meat kwa ajili yake.
 
Acha tu ila baadhi ya kina mama, dada, mabinti ndi wateja wakubwa wa manabii fekero! Mchungaji akitaka gari anaomba michango kutoka kwa kondoo ila kondoo akitaka gari anaombewa na mchungaji fekero.
Sio wateja mkuu ni misukule...yaan mtu ana hida unamtumia elf 20 ajikimu kwa chochote...anaenda kutoa zaka yote....anasubiri muujiza
 
Hata kama ni gari angalau iwe corola.
Isiwe wewe unatembelea vogue halafu waumini wako wanatembelea miguu,hapo utakuwa ni mchungaji feki.
Ukweli ni kuwa dini Kwa mfumo wa madhehebu ni usanii , madhehebu ni miradi ya watu trust me or not , Uhalisia Ni kuwa Mungu yupo na anatenda kazi mioyoni mwa watu wote , ila haya madhehebu na watu wanaojiita mitume , sjui waponyaji hamna kitu ..... Ni heri uchukue hela yako ununue biblia uzigawe Kwa wahtaj , na mahtaji mengine ya vyakula na maradhi Kwa wahtaji .... Hawa wanaojiita watumishi ni wavivu wa kufanya kazi Tuu....
 
Yule dada alikuwa clearly amekufuru. Fuatilia kisa chote kipo everywhere on the internet. Sikubaliani nawe kwenye statements kwamba Mungu hadeal na wale waovu kwamba anawafumbia macho tu day in and day out.
 
well said
 
Wanahitaji maombi ya kufunguliwa
 
Hata kama ni gari angalau iwe corola.
Isiwe wewe unatembelea vogue halafu waumini wako wanatembelea miguu,hapo utakuwa ni mchungaji feki.
Wakitembea peku napo mnasema ^Kanisa gani hili waamini hata hawamjali mtumishi wao^
 
Sio wateja mkuu ni misukule...yaan mtu ana hida unamtumia elf 20 ajikimu kwa chochote...anaenda kutoa zaka yote....anasubiri muujiza
Kuna shida kubwa kuliko ile ya rohoni!??? Halafu, statement yako ni overgeneralization. Watu wanapenda kutoa kwa hiari 7bb wameona mabadiliko ya maisha yao, ndoa zao, amani wanapata, kazi wameajiriwa and so forth. Sasa wanatoa shukrani. Kumbe nimegundua wewe huna moyo wa shukrani kabisa.
 
1. Uislamu & Ukristo. Ndiyo maana nikasema uwepo wa historical figure aliyeitwa Yesu hapa duniani ni jambo ambalo kwa lenyewe siyo kidogo kwa sababu kuna maswali mengi logical na factual unaweza kujiuliza kuhusu maisha ya Mwana wa Seremala ambayo lazima yakufikishe kwenye hitimisho kwamba ni Mungu. Huko kupinga kwa baadhi ya watu ni sababu ya uelewa mdogo kuhusu nature of God. Most people are stuck with that God's nature which seems to fit or agree with their little, limited human understanding capacity. Most individuals are not willing or unable to welcome some peculiar ideas they had never encountered before. It is as though their thinking processes have hit the rock bottom and do not see a way out or can never make further progress anymore.

2. Watu hawafi kwa njaa kwa sababu eti ^Mungu hayuko in control^ ama He doesn't care. No. People suffer and die out of hunger, diseases and other causatives mainly kwa sababu ya uchoyo wa mwanadamu. Few people want to amass all the resources and means of production and channels za economy za Waafrika, for instance, ili waendelee kuwatawala. God wishes wonderful prosperity and progress to each of His faithful sons or daughters. And there are enormous resources and wealth in the world much more than enough if equally distributed among all its inhabitants. Back to the eggs in the tray -- He did that to teach a valuable lesson to people like you who still don't believe He exists for our complete and personal sustenance and protection.

3. I told you, and I am saying it again: ^Your understanding of faith is simplistic, superficial, and preposterously rudimentary.^ Why huwezi hata kureason kwamba kwa nini Mungu alikupatia so delicate & complex Central Nervous System!??? For what actually, if He always expects you to merely engender and assent to some blind unsubstantiated beliefs!??? All along, we are being constantly and clearly warned against false individuals who would address themselves as messengers and well-wishers sent from the abodes of Heaven, although we know they are lying spirits and deceptive agents from the devil. How then are we to recognize them from the ^angels of light^ if our faith has to be passive and subservient, as you seem to suppose!?? Please don't relate theories and suppositions that you are being told by those who are either God-haters or biblically illiterate and ^uninformed.^ Kindly, we expect you to be more intelligent than this. Read the Bible for yourself and you won't have to wallow in the darkness of pure theorization and misinformation.

4. ^Hatima ya watu waliokufa ilhali hawakumjua Kristo^ ^Kiama cha milele & milele^ All I know is that God is love. God is just. God is kind. God is wise. God has a DEFINITE plan. This is why He gives you enough time even now for you to make intelligent, voluntary decision to choose Him. If you choose the devil instead, then there is nothing more He can do for you to enjoy eternal redemption with Him because, by so doing -- exercising your free will by casting your vote on the side of darkness -- you would have obviously defaulted your chances of eternal life.

5. The Bible ingekuwa wanaandikiwa malaika, most likely ingekuwa na lugha tofauti na matukio tofauti na haya ambayo tumezoea. Kwenye Bible Mungu anawasiliana na mwanadamu, kwa hiyo lazima lugha anayoitumia nayo iwe ya kibinadamu. As it is rightly said: ^If you are on your way to a country, say, Tanzania [emoji1241], then take the specific route that leads you there, and you won't have to second-guess your destination or get lost along the way!^ This is even more applicable when it comes to God as far as communication with humanity is concerned. He had to employ a system of language that would help us to both understand & appreciate His eternal plan and precious realities He has been tirelessly working since time immemorial just in order to convey them to this sin-sick world. Simply put, no straight-thinking individual of integrity would even try to discredit the accuracy and reliability of the Bible and its awesome, comprehensive, emphatic, and yet simple (not simplistic) message of the unparalleled love of God to the whole world [emoji289]
 
Mchungaji anasema mimi nimebarikiwa nimeacha kupanda daladala sasa hivi nina Mercedes Benz wakati sisi tunaokupa sadaka zetu tulipanda daladala ili tufike kanisani.
Ndo hivyo,Mchungaji anakula kondoo walionona,wakati kondoo wanakula nyasi.
 

Sadaka zangu siku hizi nazipeleka kwa wahitaji...kama watoto yatima, wagonjwa, wasiojiweza na magerezani huko...sio kwa hawa wasanii
 
Niliisha acha kwenda makanisa yanayohubiri mafanikio ya kimwili zaidi kuliko roho.
 

Kumbe ni hadithi
 
Hiyo fedha ni kwa lengo la kuimarishia huduma zaidi. Mambo ya rohoni yana gharama yake pia. Ukishiriki kwa kutoa sadaka yako pale kigangoni ama usharikani kiroho safi hapo unakuwa umeokoa nafsi moja kutoka umautini.

Huduma ya kiroho siku hizi inauzwa mkuu? Jitafakari, usitetee kila jambo as if huna akili hata moja... moyoni mwako unaujua ukweli hulazimishwi kukubali hapa. Ubarikiwe unapoyatafakari hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…