Wachungaji na Maaskofu waiache CHADEMA ijipambanue kama chama cha siasa

Na CUF vipi???
 
Kwa kweli ujumbe huu unapendeza sana asante.
 
Mkuu, kwa hali kilivyo kwa sasa Chadema ni chama kinacho kubalika haswa. Kama uchaguzi ukiwa huru na haki kinashinda kabla ya saa 6.00 mchana.
Lazima ccm wafikishwe siku wakubali bila ya hiyari yao kuendesha uchaguzi huru na wa haki.

Haki haiombwi bali huchukuliwa.
 
Mkuu, kwa hali kilivyo kwa sasa Chadema ni chama kinacho kubalika haswa. Kama uchaguzi ukiwa huru na haki kinashinda kabla ya saa 6.00 mchana.
Kwa hiyo Rais atakuwa ni Mzee Mbowe?
 
Kama Askofu Gwajima , Mch lwakwatare , Msigwa walivoicha Ccm ijipambanue chama Cha siasa sio ?
 

..tunatakiwa tuwawezeshe Chadema waweze kufika kila mahali na kufanya kampeni za uhakika.
 
Mkuu, kwa hali kilivyo kwa sasa Chadema ni chama kinacho kubalika haswa. Kama uchaguzi ukiwa huru na haki kinashinda kabla ya saa 6.00 mchana.

Ni kweli ila kwa Hali ya Jamii ya Tanzania Chadema ikiungana na ACT Wazalendo ndio upinzani itaingia Ikulu zote za Tanganyika na Zanzibar vinginevyo hakuna chama kitakachoitoa CCM madarakani kwa karne hii. Japo patakuwa na mabadiliko sana ya kiutawala lakini ndani ya CCM. tutatawaliwa mpaka na madereva achilia mbali Makonda .

Mpaka Sasa ACT inatajwa kuwa ni chama chenye harufu ya kidini kama ilivyo chadema .

Sasa kama ACT ina mtaji mkubwa Zanziba, Kundi,Kigoma, Baadhi ya kata kwenye mikoa ya pwani basi hakuna namna ya kuacha kushirikiana nao ili CCM isipate mwanya wa kushinda hasa kwenye ubunge na udiwani na serikali za mitaa .

Cha msingi tu ni kuwapata wagombea wanaomuogopa na kujua kuwa kuna siku Mungu atahukumu wetu wote bila kujali cheo .

Kwa sababu tukiweza tu ikulu na kusahau nature ya watanzania kiimani basi ni wazi kabisa kuwa shetani kupitia CCM atakua ameshinda na Mungu atadhalilishwa sana Tanzania . Na ule usemi wao wa ushindi wa CCM sio Mungu anayeweza kuuzuia wala kuupanga bali ni lazima utatumia .

Kwa hiyo kwa sasa kazi iliyopo mbele yetu ni kuhakikisha kuwa SHETANI HASHINDI NA KUITAWALA TANZANIA KUPITIA Mgongo wa CCM . Kwa sababu ushindi wa CCM ni ushindi wa shetani na anavyopata ni damu za watu kuongezeka kumwagwa kama shukrani na malipo yake.

Sasa wapinzani wakuu ACT kule Zanzibar na Chadema Bara wasipoungana ni wazi kuwa Tutakuwa tumemkabidhi shetani nchi rasmi .Hivyo tujiandae tu kuona uovu wa kila aina ukifanywa ikiwemo ulawiti,ushoga ,bidhaa feki na zenye sumu, usagaji, magendo ,madawa , uonevu , mauaji ,migogoro mikubwa ya ardhi,kutorosha kwa wanyama na madini n.k .
kushirikiana na ACT ni jambo la Busara sana na litaleta baraka kwenye nchi na litabalance siasa na kuleta amani kati ya dini zote za Haki na wapenda haki dunia nzima .
 
..tunatakiwa tuwawezeshe Chadema waweze kufika kila mahali na kufanya kampeni za uhakika.

Chadema wanakosa maarifa ya ushindi sio wapiga kura .

Kwanza mpaka sasa hawana hamasa ya kujiandikisha .

Mimi hua sielewi tu kuwa rasilimali zote zilizopo na mapesaengi yanayopotea kila idara kuundwa kwa bodi zisizo na tija kwenye kila taasisi ya umma tena bodi ya wastaafu walioshiba asali na waliohujumu mashirika na tasisis hizo hizo ,kweli tunashindwa kudhibiti ufisadi wa wachache ,kupunguza matumizi ya serikali na kudhibiti fungu kubwa la wasiojulikana na kisha kuwapa posho hata elfu 50 mpaka 100k wenyeviti wa serikali za mitaa kwa kazi kubwa wanayoifanya ambayo ndiyo hasa msingi wa amani ya nchi yetu hasa Tanganyika ?!!
.Kwa nini Chadema wasije na sera ya kuwalipa posho ya kalamu na karatasi na chai kwa wenyeviti wa serikali za mitaa na pia kuvutia vijana wasio na ajira lakini waliosomea uongozi ili wajitokeze kugombea nafasi hizo dhidi ya wazee wa washirikina wa CCM wanaotegemea ndumba kushinda na kukalia ofisi na pia waliozoea kuhongwa wakati wa uchaguzi na kutumika tu kwa hisani ya mafisadi .
Chadema kije na sera ya kubadili hadhi ya Mwenyekiti wa serikali ya mtaa na kumfanya ajiamini na kusimamia amani na rasilimali za nchi ikiwemo ardhi na mipango miji . Wasomi wajitokeze kugombea
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…