Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
- Thread starter
- #81
Hii naikubali. Na kesho utawakuta kkkt, Peramiho, Vatikan n.k. Hii ndio siasa, Sikiliza hoja za wananchi wako wote. Wafikie, waelewe, wakubali...... Utatatuaje matatizo yao kesho kama kabla ya uchaguzi hukuwafikia na kuwasikiliza.Hapa jee?
Hayo aliyafanya hata Nyerere, shida iko wapi. Au mmesahau Jinsi alivyoingia TAA na Baadae TANU. Lete na zile picha za nyerere za wakati ule.