exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,263
- 3,897
Baadhi ya maeneo Shinyanga wachungaji wa makanisa muende mkasimame kuombea wananchi wamwamini Mungu, kuliko wanaamini nguvu za giza uganga ushirikina.
Nisipoteze muda moja kwa moja kwenye maada,, baadhi ya maeneo[emoji116]
Nm'angu, Solwa, Salawe , Mwamashimba
Mimi nimehudhulia misiba baadhi unakuta msiba unaendeshwa kiganga yaani mganga analetwa maiti inapotolewa ndani
Unaona mganga anashugulika kuchanganya dawa anabadilisha hivi anaweka vile, maiti inawekwa ndani ya kaburi mganga tena anakuwa anachanganya madawa laivu kabsa akiwa amevalia manyoya ya mwewe, jamani hawamuogopi hata MUNGU
Niseme tu watu wengi wa mazingira hayo akikuvulia nguo mwili umekatwakatwa majeraha chale unaweza hata kuogopa kwakwel,
Ndg: wachungaji wekeni nguvu zenu maeneo hayo na kama kuna maeneo mengine zaidi lifanyieni kazi maana MUNGU ndye kimbilio letu sote.
Yuda exalioth
jamiiforums
Karbuni Geita