Wachungaji nendeni Shinyanga mkawaombee wananchi

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,263
Reaction score
3,897
Baadhi ya maeneo Shinyanga wachungaji wa makanisa muende mkasimame kuombea wananchi wamwamini Mungu, kuliko wanaamini nguvu za giza uganga ushirikina.

Nisipoteze muda moja kwa moja kwenye maada,, baadhi ya maeneo[emoji116]

Nm'angu, Solwa, Salawe , Mwamashimba

Mimi nimehudhulia misiba baadhi unakuta msiba unaendeshwa kiganga yaani mganga analetwa maiti inapotolewa ndani

Unaona mganga anashugulika kuchanganya dawa anabadilisha hivi anaweka vile, maiti inawekwa ndani ya kaburi mganga tena anakuwa anachanganya madawa laivu kabsa akiwa amevalia manyoya ya mwewe, jamani hawamuogopi hata MUNGU

Niseme tu watu wengi wa mazingira hayo akikuvulia nguo mwili umekatwakatwa majeraha chale unaweza hata kuogopa kwakwel,

Ndg: wachungaji wekeni nguvu zenu maeneo hayo na kama kuna maeneo mengine zaidi lifanyieni kazi maana MUNGU ndye kimbilio letu sote.

Yuda exalioth
jamiiforums
Karbuni Geita
 
Baadhi ya maeneo SHINYANGA wachungaji wa makanisa muende mkasimame kuombea wananchi wamwamini MUNGU, kuliko wanaamini nguvu za giza uganga ushirikina.

Nisipoteze mda moja kwa moja kwenye maada,, baadhi ya maeneo[emoji116]

Nm'angu, Solwa, Salawe , Mwamashimba

mimi nmehudhulia misiba baadhi unakuta msba unaendeshwa kiganga yaani mganga analetwa maiti inapotolewa ndani

unaona mganga anashugurika kuchanganya dawa anabadilisha hivi anaweka vile, maiti inawekwa ndani ya kaburi mganga tena anakua anachanganya madawa laivu kabsa akiwa amevalia mayoya ya mwewe, jamani hawamuogopi hata MUNGU

Huko kuna sadaka kuu.. kina mitume na manabii tuje?! Au ndio sadaka baada ya ibada ni 15k?
Yani kifupi mtanishawishi vp nitoke Mbeya kwetu nije shynga wakati dar panono??
 
Njooni muokoe jahazi
 
Baadhi ya maeneo SHINYANGA wachungaji wa makanisa muende mkasimame kuombea wananchi wamwamini MUNGU, kuliko wanaamini nguvu za giza uganga ushirikina.

Nisipoteze mda moja kwa moja kwenye maada,, baadhi ya maeneo[emoji116]

Nm'angu, Solwa, Salawe , Mwamashimba

mimi nmehudhulia misiba baadhi unakuta msba unaendeshwa kiganga yaani mganga analetwa maiti inapotolewa ndani

unaona mganga anashugurika kuchanganya dawa anabadilisha hivi anaweka vile, maiti inawekwa ndani ya kaburi mganga tena anakua anachanganya madawa laivu kabsa akiwa amevalia mayoya ya mwewe, jamani hawamuogopi hata MUNGU

Niseme tu watu wengi wa mazingira hayo akikuvulia nguo mwili umekatwakatwa majeraha chale unaweza hata kuogopa kwakwel,

Ndg: wachungaji wekeni nguvu zenu maeneo hayo na kama kuna maeneo mengine zaidi lifanyieni kazi maana MUNGU ndye kimbilio letu sote.

Yuda exalioth
jamiiforums
Karbuni Geita
Hueleweki. Kwanza hiyo Mhangu , Solwa na Salawe ndio nini ? Maana Solwa na Mhangu ni vijiji katika ile iliyokuwa ikiitwa utemi wa Salawe. Aidha utuambie ni wapi katika nchi hii ambako hakuna uchawi wala ushirikina. Injili ya Yesu Kristo lazima ihubiriwe katika mataifa yote na makabila yote. Usijitekenye hapa.
 
Haya mambo yanapaswa kukemewa kwa nguvu zote mkuu sio mtu anazikwa kwenye gozi ya ng'ombe
 
Back
Top Bottom