Wachungaji wanaohamasisha uzinzi sio Nabii Tito peke yake, na Masanja Mkandamizaji yumo

Roman Catholic,huwezi kuta takataka dizaini ya Masanja! Hadi ufikie daraja la Ukasisi,utakua umesoma kweli kweli,na sio unaamka tu asubuhi,unajiita Mimi ni Kasisi

Mbinguni ni matendo, siyo shule.
 
Duh!!!,Na waumini wake wanamsikiliza vizuri tu!!!.
 
Dah!!!,Unabii unatimia sasa.
 
Kwani huyo Masanja ambaye unaonekana Kumchukia sana amekulazimisha uwe ' Unamfolo ' au ' Umpende ' Mkuu?

Sijaona baya hapo na acha Kutuboa pia.
 
Ni mwanachama mkubwa katumwa kupotosha. Wenye masikio kazi kwenu.
 
Roman Catholic,huwezi kuta takataka dizaini ya Masanja! Hadi ufikie daraja la Ukasisi,utakua umesoma kweli kweli,na sio unaamka tu asubuhi,unajiita Mimi ni Kasisi
Si ndio hawa mapadri wanao lawiti watoto wakiume dunia nzima???!!

Sasa kusoma kwao kumewasaidia nini mpaka wanalawiti watoto wadogo wakiume jamani??!!
 
Kuna watu wanasali kwenye hii Kanisa?
 
Hakuna mchungaji humo
 
Roman Catholic,huwezi kuta takataka dizaini ya Masanja! Hadi ufikie daraja la Ukasisi,utakua umesoma kweli kweli,na sio unaamka tu asubuhi,unajiita Mimi ni Kasisi
Kwa bahati mbaya elimu ya kiroho haihusiani kabisa na elimu ya kidunia
 
Roman Catholic,huwezi kuta takataka dizaini ya Masanja! Hadi ufikie daraja la Ukasisi,utakua umesoma kweli kweli,na sio unaamka tu asubuhi,unajiita Mimi ni Kasisi
Kanisa katoliki lina uongozi wa juu, hao makasisi na mapadri ni waajiriwa.

Ila Masanja yeye ndio Papa aka CEO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…